Twende nae tu hivo hivo 😂Huyu anatafuta umaarufu na visired vya kutunga tunga tu ilimradi, jana tu katuandikia uharo wake hapa Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!
Jana hiyo hiyo kaja na matapishi pia eti mwanamke anadai hafikishwi, hata angekuwa malaya namna gani hawezi mwambia mumewe eti yule jamaa hanifikishi naomba turudiane
Mkuu mambo ya ndoa ni vyema ungeyafanya kuwa ni ya faragha, na kutoyaanika hovyo hapa jukwaani. Ilikuwa ni vyena kama ungetumia lugha ya jumla kama mwanamke kuliko kumzungumzia mwenzako "specifically" kwa kutujulisha wanakukwaa kuwa yupo hapa jukwaani.Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane
Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na alikuwa ana enjoy sana jamaa mpya huyo anasema alimpendea pesa tu aisee so anataka kurudi kwangu aisee
mrudieWakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane
Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na alikuwa ana enjoy sana jamaa mpya huyo anasema alimpendea pesa tu aisee so anataka kurudi kwangu aisee
Umaarufu kwa mbwa kama nyie?Huyu anatafuta umaarufu na visired vya kutunga tunga tu ilimradi, jana tu katuandikia uharo wake hapa Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!
Jana hiyo hiyo kaja na matapishi pia eti mwanamke anadai hafikishwi, hata angekuwa malaya namna gani hawezi mwambia mumewe eti yule jamaa hanifikishi naomba turudiane
We mwenyewe umbwa asokuwa na matunzo maana unarandaranda tu kila sehemu wakuone tombanyokooo nyarukundo ambia hayo mambo masese kama weweUmaarufu kwa mbwa kama nyie?