Msaada: yule mwanamke wa JamiiForum niliyempa talaka anaomba kurudia baada ya kuona thread yangu

Comedy na ziendelee, JF inakufanya uwe unachotaka.
 
tunaouguza wagonjwa tujitahidi sana wasikose kunywa dawa zao kwa wakati bila kukosa kuepuka matatizo kama haya.
 
Mkuu mambo ya ndoa ni vyema ungeyafanya kuwa ni ya faragha, na kutoyaanika hovyo hapa jukwaani. Ilikuwa ni vyena kama ungetumia lugha ya jumla kama mwanamke kuliko kumzungumzia mwenzako "specifically" kwa kutujulisha wanakukwaa kuwa yupo hapa jukwaani.

Ungetumia lugha ya jumla katika kuelezea machungu ya talaka yako pasipo kuwa na haja ya kusema kuwa naye ni mwanachama wa jukwaa hili. Natambua ya kuwa wewe ukiwa kama binadamu wa kawaida pia una mapungufu yako.

Siku ambaye naye akipandisha uzi hapa jukwaani kuhusiana na mambo yako ya faragha italeta kizaazaa. Jifunze kupitia talaka za watu maarufu jinsi ambavyo zinaleta mtafakaruku na kuanza kuumbuana hadharani.
 
mrudie
 
Mkuu hizi mada zako peleka fb Sawa!!
 
✍️✍️✍️✍️✍️Barua ya agano la sanduku la siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…