Unadhani ni kifuu cha nazi?Samahani mkuu...hiyo ndio hometheatre...??
Aiseee...mbona umepanic kijana mdogo??Unadhani ni kifuu cha nazi?
Unadhani ni kifuu cha nazi?
Samahani mkuu...hiyo ndio hometheatre...??
Muwe mnajibu swali basi kama lilivyoulizwa,.mnapanic nini sasa??unadhani wote tunaijua hiyo hometheatre????aargggg🤒🤒We ulijiua ni vifaa vya ngaliba au?
Hiyo naona ni AwayTheatre[emoji23]Samahani mkuu...hiyo ndio hometheatre...??
Muwe mnajibu swali basi kama lilivyoulizwa,.mnapanic nini sasa??unadhani wote tunaijua hiyo hometheatre????aargggg[emoji855][emoji855]
Mimi siijui hometheatre jomonii...nimeuliza hapa naona raia mnanizomea...daah!!!Hiyo naona ni AwayTheatre[emoji23]
Tupotezeane mzee baba isiwe kesi...!!!Tuanze na swali KWANI WE NI WA MKOA GANI MAANA HATA YESU WATU KAMA NYIE ALIKUWA ANAWAJIBU KWA MASWALI
Tupotezeane mzee baba isiwe kesi...!!!
iliyoliwa ni speaker tu ya sub? ukishindwa kabisa peleka kwa fundi aibadili.Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater hakika sita muacha hai siku akingia kwenye kumi na nane zangu.
Msaada kwa anayejua headquater za sony au sehemu mafundi wazuri wa hizi kitu tujuzane kwamaa mimi nipo addict na mziki mnene. MODEL DAV 350
Naombeni msaada katika hiliView attachment 1146809
Mkuu si umeshaelekezwa hapo juu kweny post namba 3...au unafikir hatusomi comments za watu humu...Sawa je unajua wap napata service?