MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

Machmadem

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
758
Reaction score
936
Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater hakika sita muacha hai siku akingia kwenye kumi na nane zangu.

Msaada kwa anayejua headquater za sony au sehemu mafundi wazuri wa hizi kitu tujuzane kwamaa mimi nipo addict na mziki mnene. MODEL DAV 350
Naombeni msaada katika hili
20190704_204121.jpeg
 
Tuanze na swali KWANI WE NI WA MKOA GANI MAANA HATA YESU WATU KAMA NYIE ALIKUWA ANAWAJIBU KWA MASWALI
Muwe mnajibu swali basi kama lilivyoulizwa,.mnapanic nini sasa??unadhani wote tunaijua hiyo hometheatre????aargggg[emoji855][emoji855]
 
Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater hakika sita muacha hai siku akingia kwenye kumi na nane zangu.

Msaada kwa anayejua headquater za sony au sehemu mafundi wazuri wa hizi kitu tujuzane kwamaa mimi nipo addict na mziki mnene. MODEL DAV 350
Naombeni msaada katika hiliView attachment 1146809
iliyoliwa ni speaker tu ya sub? ukishindwa kabisa peleka kwa fundi aibadili.
 
Mkuu si umeshaelekezwa hapo juu kweny post namba 3...au unafikir hatusomi comments za watu humu...

Tanzania tuna matatizo sana
Ndio mana nikaja kuomba msaa kwa wanajamvi wote na sio mtu moja
 
Back
Top Bottom