Nakubaliana na hoja yako kabisa, lazima CHADEMA waonyeshe mfanoMsafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Kwani wanaoingia kwenye msafara wamelazimishwa wajiunge na msafara au wamependa wenyewe. Unaelekea kukosa hoja na uache wivu na chuki binafsi.Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Hayo hayatoki Ufipa yanayoka maeneo tofautitofauti, wale wenyeji wote hutoka ikulu. Hauwezi ukataka viongozi wa Kyela wapande ya viongozi wa Tukuyu au Uporoto, hata hivyo idadi hubadilika kulingana na njia husika. Mbona miaka yote haujawahi kuhoji kufuru za wanaotumia kodi zetu? Hao unaohoji ni magari ya watu binafsi na pesa zao.Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Wewe Sukuma Gang toka lini ukawa Chadema?Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Usiwe mjinga, je unafahamu ni viongozi wangapi wamehusika katika uzinduzi wa mikutano hiyo?Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
As long as hawatumii pesa/Kodi za uma hakuna shida kabisa.Gharama zote ni za chama, hapo Kuna upigaji na udalali mwingi
Chadema wamekaa miaka karibu thelasini bila kujenga Ofisi hata ya chumba kimoja makao makuu, unadhani mambo ni rahisi rahisiMtoa hoja acha upumbavu na elewa jinsi ya kutenganisha fedha za chama na serikali, ukiona gari la serikali kwenye msafara nyosha kidole juu maana hii ni taxi yetu, kinyume cha hapo shut up,hapo kagera watoto wamezama maji, eti kikosi cha uokoaji kinasubiria 24hrs ili miili iwe surfaced, upumbavu katika hali ya juu kisa hatuna police divers, ilitakiwa kila police station kuwe na police divers wenye equipments zote
Wakodi coaster au haisiUsiwe mjinga, je unafahamu ni viongozi wangapi wamehusika katika uzinduzi wa mikutano hiyo?
Kwa akili yako unataka viongozi zaidi ya 20 wapande shangingi moja! Kumbuka wako viongozi wa kitaifa, kanda, mkoa na wilaya husika!
Huna hoja, yaani chama kigharamie usafiri na magari ya watu binafsi ?Gharama zote ni za chama, hapo Kuna upigaji na udalali mwingi
Kwani ni kodi za wananchi au ni watu binafsiMsafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Akienda na gari mbili mnasema wenzake wamemsusia ChamaMsafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.