Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
 
Nakubaliana na hoja yako kabisa, lazima CHADEMA waonyeshe mfano
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Kwani wanaoingia kwenye msafara wamelazimishwa wajiunge na msafara au wamependa wenyewe. Unaelekea kukosa hoja na uache wivu na chuki binafsi.
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Hayo hayatoki Ufipa yanayoka maeneo tofautitofauti, wale wenyeji wote hutoka ikulu. Hauwezi ukataka viongozi wa Kyela wapande ya viongozi wa Tukuyu au Uporoto, hata hivyo idadi hubadilika kulingana na njia husika. Mbona miaka yote haujawahi kuhoji kufuru za wanaotumia kodi zetu? Hao unaohoji ni magari ya watu binafsi na pesa zao.
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Usiwe mjinga, je unafahamu ni viongozi wangapi wamehusika katika uzinduzi wa mikutano hiyo?

Kwa akili yako unataka viongozi zaidi ya 20 wapande shangingi moja! Kumbuka wako viongozi wa kitaifa, kanda, mkoa na wilaya husika!
 
Haya.
 
Mtoa hoja acha upumbavu na elewa jinsi ya kutenganisha fedha za chama na serikali, ukiona gari la serikali kwenye msafara nyosha kidole juu maana hii ni taxi yetu, kinyume cha hapo shut up,hapo kagera watoto wamezama maji, eti kikosi cha uokoaji kinasubiria 24hrs ili miili iwe surfaced, upumbavu katika hali ya juu kisa hatuna police divers, ilitakiwa kila police station kuwe na police divers wenye equipments zote
 
As long as hawatumii pesa/Kodi za uma hakuna shida kabisa.
Ikumbukwe mpaka sasa wamegoma kupokea ruzuku.
Hata kama za msaada wa Ubelgiji, lazima uwepo uwajibikaji
 
Mtoa hoja acha upumbavu na elewa jinsi ya kutenganisha fedha za chama na serikali, ukiona gari la serikali kwenye msafara nyosha kidole juu maana hii ni taxi yetu, kinyume cha hapo shut up,hapo kagera watoto wamezama maji, eti kikosi cha uokoaji kinasubiria 24hrs ili miili iwe surfaced, upumbavu katika hali ya juu kisa hatuna police divers, ilitakiwa kila police station kuwe na police divers wenye equipments zote
Chadema wamekaa miaka karibu thelasini bila kujenga Ofisi hata ya chumba kimoja makao makuu, unadhani mambo ni rahisi rahisi
 
Usiwe mjinga, je unafahamu ni viongozi wangapi wamehusika katika uzinduzi wa mikutano hiyo?

Kwa akili yako unataka viongozi zaidi ya 20 wapande shangingi moja! Kumbuka wako viongozi wa kitaifa, kanda, mkoa na wilaya husika!
Wakodi coaster au haisi
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Kwani ni kodi za wananchi au ni watu binafsi
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Akienda na gari mbili mnasema wenzake wamemsusia Chama
 
Back
Top Bottom