Pre GE2025 Msafara wa ACT, Lissu wazuiliwa airport nchini Angola, kurudishwa nchini, ACT watoa tamko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Angola inawatisha sana ccm.

Tulikuwa hatujui sasa tumejua

Kwa Angola inakabiriwa na matatizo mengi hasa kipindi hiki ambacho jirani yake DRC hayuko sawa.

Mi maamini ni mambo ya Kidiplomasia tu. Angola akishathbitisha bila shaka atawaruhusu.

Remeber Gen James Kabarebe and his Retreat Game of War
 
Angola wamefanya vizuri kuzuia kukutana wapinga maendeleo wa kiliberali. Ukivielewa vyama husika wapo makaburu wale wa afrika kusini hadi vyama vya mlengo mkali wa kulia vya colombia. Ni njama za wapinga itikadi ya kimapinduzi.
 
Hao walikuwa hawana passport? - wazamiaji?

Nchi zilizosaidiwa na Nyerere kupata uhuru zinachukizwa sana anapotukanwa na vitoto alivyovilea, akavilipia chanjo, na akavipa elimu bure.. Hao nao walikuwa kikosi cha matusi

Lissu akikanyaga tena Uganda naknya barabara yote kuanzia gongo la mboto mpaka posta
 
Angola na Mozambique wanatabia hizo sana, kuwazuia watu mipakani, airport or immigration centres, sijui wanajionaje?? Wakati mwingine hata kama una passport pamoja na documents zote halali za kusafiria na kuingia nchini mwao!!

Siku moja tuliwahi kuchaniwa doc's zetu za kusafiria mozambique baada ya immigration police wao kutuomba rushwa kwa nguvu tukakataa kutoa, kwasababu tulikuwa na hati zote halali za kusafiria, tulipotoa na kuwaonesha, walizichukua na kuzichana mbele ya macho yetu!

Hizi nchi mbili zilizotawaliwa na portugues zina shida sana! Wanajikuta nani sijui???

Mnaosema Tanzania kuna rushwa, naona bado hamjasafiri nje ya nchi. Nendeni Mozambique na Angola muone rushwa inavyotolewa kwa lazima! Sio ombi ni amri...!

Adios Amigo!
 
Typical ccm style😅😅😅
 
Luanda, Angola

O Primeiro Vice-Presidente de Zanzibar, Othman, Lissu, foi impedido de entrar em Angola. Um impasse diplomático se desenrolou no Aeroporto de Luanda..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…