Pre GE2025 Msafara wa ACT, Lissu wazuiliwa airport nchini Angola, kurudishwa nchini, ACT watoa tamko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Angola mbona inajishushia hadhi, ina maana haijui kuwa hao wapinzani ndio hao hao wanaweza kuwa viongozi wa mataifa yao? Hiyo ni hofu tu ya chama tawala cha MPLA kwamba wapinzani wake watapata moto. MPLA ni rafiki wa CCM na ina mentality ya Ki ccm. Angola ilitaka vyama tawala tu ndio waingie kwenye huo mkutano?
 
.

Ex-Presidente do Botswana, Venâncio Mondlane e outros políticos africanos foram impedidos de entrar em Angola

Ian Khama, ex-Presidente do Botswana, bem como Venâncio Mondlane, opositor político em Moçambique, impedidos de entrar em Angola. Vice-presidente da Tanzânia deportado para a Etiópia.

Photo: Ian Khama, antigo Presidente do Botswana é um dos políticos retidos no aeroporto de Luanda


Vários políticos africanos ficaram esta quinta-feira retidos no aeroporto de Luanda, impedidos de entrar em Angola e um grupo de dez, incluindo o vice-presidente da Tanzânia, deputados do Quénia como o vice-presidente do Parlamento do país, e sudaneses foram deportados na companhia aérea etíope para Adis Abeba. O opositor moçambicano Venâncio Mondlane, bem como os seus dois assessores, Dinis Tivane e Luis Mariquelle foram separados dos restantes políticos, “não se sabendo onde estão” confirmou ao Observador a investigadora portuguesa Paula Cristina Roque, que está no local. “Pensa-se que estarão a ser deportados para Joanesburgo”, acrescentou.

Um outro grupo de 26 políticos, como Ian Khama, o reputado antigo Presidente do Botswana, filho do primeiro líder do país, e o ex-primeiro-ministro do Lesotho, por exemplo, estão neste momento numa parte isolada do aeroporto.


Por volta das 18h00 em Luanda alguns dos políticos que era suposto entrarem num avião para se digiri
Tanto os políticos que foram deportados quanto os que ainda estão no aeroporto ficaram sem os passaportes diplomáticos, continua a investigadora. De qualquer forma, como membros que são da Comunidade de Desenvolvimento da África Austral (SADC, na sigla em inglês), não necessitam de visto para entrar em Angola, que por sinal, assume este ano a presidência da União Africana.



Estas figuras políticas aterraram em Luanda num avião da Ethiopian Airlines, a convite de três organizações internacionais — Benthurst Fondation, Konrad Adenuer e World Liberty Congress —, para participar numa grande conferência sobre democracia e governação que se realiza na sexta-feira em Benguela e tem como anfitrião local o principal partido da oposição angolana, a UNITA. Alguns dos participantes fazem parte da Internacional Democrata Centrista.

Por volta das 18h00 em Angola, alguns políticos que se dirigiam para um avião que os levaria para a Catumbela (ao lado de Benguela) foram impedidos de o fazer como Leopoldo López, opositor de Nicolas Maduro na Venezuela e um ex-ministro dos Negócios Estrangeiros do Sudão, por exemplo.


Photo : Tundu Lissu líder do partido Chadema

O ex-candidato presidencial da Tanzânia, líder do partido Chadema, criticou no X o incidente diplomático: “Este tratamento indigno dos cidadãos de nações africanas irmãs por parte das autoridades angolanas da imigração é totalmente inaceitável e deve ser condenado com a maior veemência possível”, escreveu Tundu Lissu.
Lembrando os laços que ligam a Tanzânia a Angola, o também deputado frisou que a delegação vinda de Zanzibar não precisa de visto:
“A Tanzânia acolheu o Dr. António Agostinho Neto e os seus combatentes do MPLA nos primeiros anos da sua luta pela independência. Apoiámos Angola em todos os momentos durante a ocupação do sul de Angola pelo regime do apartheid sul-africano nos anos 70 e 80. Tal como Angola, a Tanzânia é um Estado membro da SADC e, como tal, nós, tanzanianos, não precisamos de visto para entrar em Angola”.


Os políticos viram os seus passaportes serem apreendidos sem que lhes tivessem sido dadas explicações, confirma ao Observador fonte ligada a um dos elementos da comitiva
 
Hii si Sijaelewa vizuri , kwani shida ni nini ?
 
Lisu kwa uongo ndio nwenyewe
Anataka kuwalaghai wazungu
Wazungu tu ama ulimwengu? mie mwenyewe mtanzania nimebaki najiuliza Makamu wa Raisi wa Tanzania ni nani haswa?

Mh. Lissu ni wangu sana, ila saa ingine naona uharakati wake unampelekea kuropoka(kulaghai)tu.
 
Habari kwa kina la sakata zima lilivyoripotiwa

Rais wa zamani wa Botswana Ian Khama, Venâncio Mondlane, Tundu Lissu, OMO na wanasiasa wengine wa Afrika pia Latino Amerika wamezuiwa kuingia Angola​

Ian Khama, Rais wa zamani wa Botswana, pamoja na Venâncio Mondlane, mpinzani wa kisiasa nchini Msumbiji, walizuia kuingia Angola.

Pia Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Zanzibar mheshimiwa Masoud Othman, Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... kutoka Tanzania wafukuzwa na kupandishwa ndege kurudi nchini Ethiopia.

Picha : Ian Khama, Rais wa zamani wa Botswana, ni mmoja wa wanasiasa waliokumbana na kadhia hiyo katika uwanja wa ndege wa Luanda Angola

Wanasiasa kadhaa wa Kiafrika walizuiliwa katika uwanja wa ndege wa Luanda siku ya Alhamisi, wakizuiwa kuingia Angola, na akiwemo makamu wa rais wa Tanzania OMO , wabunge wa Kenya kama vile naibu Spika wa Bunge la nchi hiyo, na Wasudan walifukuzwa kisha kupandishwa katika usafiri wa shirika la ndege la Ethiopia hadi Addis Ababa.

Mwanasiasa wa upinzani wa Msumbiji Venâncio Mondlane, pamoja na washauri wake wawili, Dinis Tivane na Luis Mariquelle, walitenganishwa na wanasiasa wengine, "haijulikani walipo," mtafiti wa Ureno Paula Cristina Roque, ambaye yuko kwenye tovuti, aliithibitisha gazeti la Observador. "Inaaminika kwamba wanafukuzwa kurudishwa Johannesburg, Afrika ya Kusini" aliongeza.

Kundi jingine la wanasiasa 26, akiwemo Ian Khama, Rais mashuhuri wa zamani wa Botswana, mtoto wa kiongozi wa kwanza wa nchi hiyo, pia zuio hilo halikumuacha , Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho, kwa sasa wako katika sehemu maalum iliyotenganishwa ya uwanja wa ndege.

Karibu saa 12:00 jioni huko Luanda baadhi ya wanasiasa ambao walipaswa kupanda ndege kuondoka baada ya kutimuliwa.

Wanasiasa wote waliofukuzwa na wale ambao bado walikuwa kwenye uwanja wa ndege waliachwa bila hati za kusafiria za kidiplomasia, huku upelelezi ukiendelea. Vyovyote iwavyo, wakiwa wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), hawahitaji visa kuingia Angola, ambayo kwa njia fulani, imetwaa urais wa Umoja wa Afrika mwaka huu.


Wanasiasa hawa walitua Luanda kwa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, kwa mwaliko wa mashirika matatu ya kimataifa - Benthurst Foundation, Konrad Adenuer na World Liberty Congress - kushiriki katika mkutano mkuu wa demokrasia na utawala utakaofanyika Ijumaa huko Benguela na utaandaliwa mashinani na chama kikuu cha upinzani cha Angola, UNITA. Baadhi ya washiriki ni sehemu ya Centrist Democratic International.
 
Rais wa zamani wa Colômbia mheshimiwa Andrés Pastrana naye alikuwemo katika kundi la wanasiasa wageni waliozuiliwa kuingia Angola kisha kutimuliwa warudi walipotoka... mjadala mzito waibuka nchini Colombia kuhusu rais wao wa zamani kuzuiliwa ..


ex-Presidente da Colômbia Andrés Pastrana


View: https://m.youtube.com/watch?v=lWWTwOlu930
Si bien no se ha conocido la razón detrás de la detención, el expresidente Pastrana viajaba a ese país del continente africano para un foro.


View: https://m.youtube.com/watch?v=3_2SHGxALxE
 
Tundu Lissu, CHADEMA kama Chama kikuu cha upinzani lazima kifanye kazi kitaasisi.
ACT Wazalendo wamefanya kama Taasisi
1. Kutoa Taarifa rasmi kwa Umma. CHADEMA mnapaswa kufanya hivyo
2. Kuandika barua Ubalozi mkitaka maelezo. CHADEMA andikeni kwa nafasi yenu

Kuandika katika Mtandao wa X ni vema lakini hakuakisi ukubwa wa Chama ! Wake up!

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Kina Lisu watasingizia CCM 😆😆
 
Taratiiiibu no reform no election inaanza kupata attention kimataifa Yani hili likauli mbiu ni la moto ukichimama nchale ukikaa nchale.
Punguzeni utoto jamani Yaani Marekani, Kenya, SA, na Nchi nyingine nyingi ambazo delegates wake wamezuiliwa wana No reform No Election??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…