Pre GE2025 Msafara wa ACT, Lissu wazuiliwa airport nchini Angola, kurudishwa nchini, ACT watoa tamko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ni kinyume cha itifaki na mkataba wa SADC inapaswa ifuatiliwe. Serikali ya Angola itoe maelezo.
 
Naona waliozuiliwa siyo Lissu na ACT tu bali ni wote waliokuwa wanakwenda kwenye mkutano huo. Nadhani tatizo ni la waandaaji wa mkutano huo kuliko serikali yenyewe
 
NI ngumu sana kutoa comment yoyote kwa sababu serikali ya Angola haijasema sababu za zuio na kwa maana hiyo kuzuia kongamano hilo la PAD kufanyika....

Hata hivyo, ni obvious kuwa maandalizi ya kongamano hilo nchini himo ambalo linahusisha wageni toka mataifa mbalimbali, litakuwa lilianza kuandaliwa muda mrefu huku serikali ya Angola ikihusishwa na hivyo iikuwa inafahamu...

Kama hivi ndivyo, na kama kuna sababu za msingi kwamba ilikuwa lazima kongamano hilo lisitishwe, ikawaje wakasubiri mpaka wageni wajiandae na kutoka kwenye nchi zao, wakasafiri hadi kufika Angola na ghafla kama radi ya mvua wanawazuia kuingia nchini kwao?

Hiyo ni mipango ya hovyo kiasi kile? Kuna nini huko Angola? Kuna state of emergency? Hao waandaaji wenyewe wa kongamano hilo wanasemaje..?

Au serikali ilipata taarifa fulani za kiintelelijensia kuwa mkutano/kongamano hilo linahatarisha usalama wa nchi yao?

Kama ndivyo waeleze ni kwa kivipi na kisha wawaombe radhi waathirika na serikali ifidie gharama za maandalizi ya kongamano ikiwemo kuwafidia wajumbe waliokwisha kusafiri na kufika nchini humo...!
 
This shabby treatment of the nationals of brotherly African nations by the Angolan immigration authorities is totally unacceptable and should be condemned in the strongest possible terms."

TOKA MAKTABA :

23 October 2023

Angola Grants Visa Free Access To 98 Countries


View: https://m.youtube.com/watch?v=_msDQCTpGfs
In a historic move, Angola has thrown open its doors to the world by introducing a groundbreaking visa-free entry policy, offering a warm embrace to nationals from over 90 countries. President Joao Lourenco signed the revolutionary resolution into law, titled Presidential Decree Number 189/23, on September 29, 2023, heralding a new era of tourism for the southern African nation.Under this progressive policy, travelers from more than 90 countries will enjoy visa-free access for up to 90 days, exclusively for tourism purposes. Angola's aim is to invigorate its burgeoning tourism sector and invite explorers from around the globe to discover its rich cultural heritage and natural wonders.

Notably, 14 African nations, including Tanzania, Eswatini, Morocco, Lesotho, Rwanda, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Botswana, Madagascar, Malawi, Mauritius, Seychelles, Cape Verde, and Algeria, are included on the list for visa-free entry.

Additionally, since December 2017, South Africans have enjoyed visa-free travel to Angola, further strengthening regional ties.

This bold move places Angola in the elite club of only five African countries, including Seychelles, Mozambique, Rwanda, Comoros, and Madagascar, offering visa-free access or visas on arrival to citizens of all African nations.

Furthermore, European and Asian travelers will also benefit from this progressive policy, with 35 European countries and 11 Asian nations enjoying 90-day visa-free stays.

The United States, Portugal, Brazil, Cape Verde, Russia, and China have been designated as Angola's priority foreign countries, reflecting the nation's global outreach and desire to foster international relationships.
 
exemplo.


Photo : Tundu Lissu líder do partido Chadema

13 March 2025
Luanda, Angola

LIVE AIRPORT : WAJUMBE WA MKUTANO WA IDC WAONDOKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA FEBRUARI 4 LUANDA ANGOLA

Tundu Lissu akielekea Intercontinental Hotel Luanda Angola usiku huu, :

View: https://m.youtube.com/watch?v=hwTMxBWaiHo

Tundu Lissu ashangaa maafisa uhamiaji walipodai hapo awali kuwa wamrundika rumande, kusubiri kuondoshwa nchini Angola kabla ya kupandishwa ndege

View: https://m.youtube.com/watch?v=H8EKTS6Rek8
Walioshikiliwa hapo awali Airport kwa masaa 8 ni pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman, Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ...wote kutoka Tanzania
 

Rais wa zamani wa Botswana aripoti kutendewa vibaya baada ya kuzuiliwa katika uwanja wa ndege wa Luanda​


13 Machi 2025
UJUMBE WA BOTSWANA WAONDOKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA FEBRUARI 4 KUELEKEA HOTELINI


View: https://m.youtube.com/watch?v=4aGHBL6bhy0Rais mstaafu wa Botswana (Jenerali mstaafu) Ian Khama na ujumbe wake wakiondoka airport ya kimataifa ya February 4 uliopo Luanda Angola..

Awali Rais huyo wa zamani wa Botswana Ian Seretse Khama, ambaye alizuiwa kuingia Angola Alhamisi hii, tarehe 13 Machi 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Luanda, hatimaye aliachiliwa na mamlaka za eneo hilo.

Wakati wa mazungumzo na wawakilishi wa bunge la Angola waliompokea, Khama alisimulia dhuluma alizopata, ikiwa ni pamoja na muda wa saa nane wa kushikiliwa bila kupata chakula au msaada wa aina yoyote. Mjumbe huyo pia alifichua kwamba, kabla ya kusafiri, alifahamisha Wizara ya Mambo ya Nje ya Botswana kuhusu safari ya Angola, kwa matarajio kwamba angewasiliana na mamlaka ya Angola.

Katika kupinga hali hiyo, Ian Seretse Khama alitangaza kwamba atarejea Botswana siku ya Ijumaa, tarehe 14 Machi 2025 , na kuacha kushiriki katika mkutano wa kimataifa wa IDC, uliopangwa kufanyika Benguela. Rais wa zamani wa Colombia Andrés Pastrana Arango, ambaye alikabiliwa na hali kama hiyo, alifanya uamuzi huo huo kurejea nchini mwake.

Ujumbe mwingine mzito uliopitia aibu hii ya kidiplomasia ni pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman, Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... wote kutoka Tanzania
 

13 Machi 2025​

Mbunge wa UNITA Athibitisha Kubakishwa kwa Venâncio Mondlane katika mikono ya Mamlaka za Angola​



Picha maktaba : Venâncio Mondlane

Na Sheila Nhancale
Maputo (MOZTIMES ) – Aliyekuwa mgombea urais wa Msumbiji Venâncio Mondlane alizuiliwa Alhamisi mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 de Fevereiro mjini Luanda, alipowasili kushiriki katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Kimataifa cha Kidemokrasia (IDC), ambacho kinajadili masuala yanayohusiana na demokrasia barani Afrika.

Habari hizo zilithibitishwa na Paulo Faria, mbunge wa UNITA, katika mahojiano ya simu na MOZTIMES.


Mondlane alisafiri kwa mwaliko wa UNITA, chama kikubwa zaidi cha upinzani nchini Angola, ambacho kimeshutumu ongezeko la ukandamizaji wa kisiasa nchini humo chini ya serikali ya Rais João Lourenço, wa chama kongwe dola tawala cha Popular Movement for the Liberation of Angola (MPLA), chama kilichokuwa madarakani tangu uhuru wa Angola mwaka 1975.


Mondlane alizuiwa kuingia katika ardhi ya Angola na hivyo basi, kushindwa kuendelea na safari yake hadi Benguela, ambako mkutano huo unatarajiwa kufanyika, ukiwakutanisha viongozi wengine wa Afrika, akiwemo rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama.


"Tumekuwa hapa tangu saa 1 jioni tukiweka shinikizo kwa mamlaka kuwaachilia wageni wetu. Kwa bahati mbaya, hakuna mtu anataka kutoa taarifa, ambayo inaonyesha hofu ya kutotii amri za Rais João Lourenço", Paulo Faria aliiambia MOZTIMES .


Lutero Simango, aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia cha Msumbiji, ambaye pia ni sehemu ya ujumbe wa wanasiasa wa Msumbiji kwenye mkutano wa IDC, aliidhinishwa kuingia Angola na, mwanzoni mwa jioni ya Alhamisi hii, tayari alikuwa Benguela, kulingana na kile Bismarques, msemaji wa MDM, aliiambia MOZTIMES (SN).
 
Siasa za harakati zilishapitwa na wakati.
Trump-Vanes-Rubio wanahubiri amani duniani
 

Baada ya Lissu kuzuiwa Angola, Rais wa chama cha UNITA mheshimiwa Adalberto Costa Júnior azungumza​


View: https://m.youtube.com/watch?v=3wPGcUo0B_U
 
12 March 2025

Rais João Lourenço asafiri kwenda nje ya nchi kikazi


View: https://m.youtube.com/watch?v=uQon6PK91YMRais wa Angola mheshimiwa João Lourenço alipowasili jana 12 March 2025 Addis Ababa Ethiopia kwa kikao cha Kawaida Umoja wa Afrika AU .

Pengine kutokana na hofu ya viongozi wateule wa rais , imepelekea waliopo Luanda kuwa na hofu ya kupoteza vyeo rais akirejea atawafukuza kazi kwa kufanikisha mkutano mkubwa wa viongozi wa upinzani kutoka mataifa mbalimbali
 
Africa is a dark continent
Afrika Demokrasia bado kabisa !
Tena bado kabisa !
Ni kupoteza pesa tu hii mambo ya so called Democracy !
Hii Demokrasia ililetwa huku ili wakubwa wa Dunia wapore mali za Nchi !

Trump akipewa madini vita inaisha DRC. 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…