Msafara wa CHADEMA ukiwa Kasi kuwahi mikutano ya Chama Kanda ya Nyasa

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama

Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei.

Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa dhati hivyo hata mia Tano ni upendo mkubwa Kwa chama chao

Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??

Your browser is not able to display this video.

​
 
kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
 

kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
Ile misafara ya ule upande mwingine Kasi ya Yao ni kwenda kufanya Nini ?
 
Wivu ni kidonda
 
Nilijua chawa wa kahaba utacommebt jambo
huna haja ya kupiga ramli gentleman, jikite kwenye hoja na ikiwa uko pointless kaa kimya tu na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela mambo useless 🐒
 
Chadema wanafadhiliwa na mabeberu fedha za kufanyia maandamano na kuvuruga amani ya nchi
 
Utakuwa unawalipia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…