Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
🤔🤔🤔 hivi watu wa Mbeya huwa hawaogopi kifo!!!huu umati unashangaza sana
🤔🤔🤔 hivi watu wa Mbeya huwa hawaogopi kifo!!!huu umati unashangaza sana
Demokrasia mnaiimba kila siku lakin hamuwez kuiishiSiku nikikuona na kupiga risasi ya kichwa
Waheshimu wanaokufanya upate ugali wa Kila siku thamani yako imejengwa na chademahuna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani gentleman, jikite kwenye hoja bila kuweweseka na itapendeza zaidi 🐒
Fanya Kaz kwa bidii na maarifa gentleman, ili uondokane na huo unyonge wa kiuchumi na fikra za kitumwa, zinazokutesa na zinazokufanya uwe mfuata mkumbo lofa na mwenye mihemko nonsense sana jukwaani.Waheshimu wanaokufanya upate ugali wa Kila siku thamani yako imejengwa na chadema
Mheshim anaekupa ugali CHADEMA PUNGUZA UZWAZWAFanya Kaz kwa bidii na maarifa gentleman, ili uondokane na huo unyonge wa kiuchumi na fikra za kitumwa, zinazokutesa na zinazokufanya uwe mfuata mkumbo lofa na mwenye mihemko nonsense sana jukwaani.
bila hivyo makasiriko ya kimaskini hayawezi kukuacha maisha yako yote 🐒
ikiwa ni hivyo,Mheshim anaekupa ugali CHADEMA PUNGUZA UZWAZWA
Mbona Huongei Kuhusu October 29,2025sinaga vijembe wala porojo gentleman,
hua daima naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu 🐒
hivi gentleman,Mbona Huongei Kuhusu October 29,2025
Wewe Ni Mtu Wa Vijembe Hutaki Ukombozi Wa Tanganyika
Gentleman Jitafakari Upya Usitoboe Mtumbwi Tunaosafiria Wote
Kwa Gharama Zangu Gentlemanhivi gentleman,
hicho kitanganyika kinaweza kua na watu zaidi ya mia2 ndani ya Tanzania kweli?
Maana,
mpaka ninapoandika reply hii, 99.9% ni waTanzania. na huenda anaejieleza kuhusu Tanganyika akaonekana ni mtu mwenye changamoto ya afya ya akili 🐒
hukuna mTanzania anaweza kubabaika na kitu ambacho hajakiona na ni cha kusadikika tu.Kwa Gharama Zangu Gentleman
Nataka Nikupeleke Lutindi Mental Hospital Ipo Korogwe Ilianzishwa Mwaka 1890
kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
Kile kitisho cha kipuuzi cha ccm kuwa chama kikikosa ruzuku kinakufa naona kimefikia mwisho. Chama kinatakiwa kiendeshwe kwa michango ya wafuasi wake. Sijui shirikini uchaguzi hata kama ni WA wizi ili chama kipate ruzuku usen@@nge huo umefikia mwisho.kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
Mungu awabariki wafike salamaHawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama
Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei.
Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa dhati hivyo hata mia Tano ni upendo mkubwa Kwa chama chao
Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??