antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Ulitaka mkiwanyima ruzuku waache kufanya siasa?Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??
Ulitaka mkiwanyima ruzuku waache kufanya siasa?Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??
Pengine ni mtindo wa uandishi wako; haya uliyoandika hapa hayaendani sana na ya huko juu uliyoanza nayo kwenye mada.Nawapongeza viongozi wa Chadema mkuu resources kidogo za chama zinatumika vizuri
Kuna haja ya wanachama kujitoa zaidi Kwa ajili ya viongozi wao
Hiyo mistari miwili ya mwanzo, umegonga penyewe hasa.Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama
Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei.
Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa dhati hivyo hata mia Tano ni upendo mkubwa Kwa chama chao
Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??
Nadhani ni namna ya uandishi wake tu, ndiyo inayoleta utata' Tazama mwendelezo wa mawazo yake yanavyojitokeza baada ya hayo aliyoweka kwenye mada yake.Unateseka ukiwa Chauma au ccm?
Ni bora kuchangiwa na wananchi kuliko kuiba pesa za walalahoi. Kila kitu fake😂😂😂kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
Walidhani bila Mbowe itakufaHawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama
Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei.
Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa dhati hivyo hata mia Tano ni upendo mkubwa Kwa chama chao
Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??
View attachment 3614370
Unashindiliwa nyundo za nyuma na dullykasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
Chadema ndie mkombozi wako siku chadema haipo CCM wanakufila mapema tu hawana rafiki hao wanawaza pesa tu shituka kahaba wewekasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
Gentleman Vijembe Hivyo Unapiga Ukiwa Lumumbakasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?🐒
sinaga vijembe wala porojo gentleman,Gentleman Vijembe Hivyo Unapiga Ukiwa Lumumba
huna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani gentleman, jikite kwenye hoja bila kuweweseka na itapendeza zaidi 🐒Chadema ndie mkombozi wako siku chadema haipo CCM wanakufila mapema tu hawana rafiki hao wanawaza pesa tu shituka kahaba wewe
avoid nonsense mayhem in platform gentleman with empty head 🐒Unashindiliwa nyundo za nyuma na dully
omba omba ni fedheha sana aise kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki 🐒Ni bora kuchangiwa na wananchi kuliko kuiba pesa za walalahoi. Kila kitu fake😂😂😂
TEC ndio mfadhili mkuu. Hiyo tone tone ni zugz 'dizaini' tu.Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama
Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei.
Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa dhati hivyo hata mia Tano ni upendo mkubwa Kwa chama chao
Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??
View attachment 3614370
ErythrocyteHawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama
Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei.
Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa dhati hivyo hata mia Tano ni upendo mkubwa Kwa chama chao
Swali najiuliza hizo gharama zingine za muda maintenance nk wanapata vipi jamani ??
View attachment 3614370
Gentleman,Tlaatlaah mbona hili swali lenyewe haujalijibu gentleman?