Msafara wa CHADEMA ukiwa Kasi kuwahi mikutano ya Chama Kanda ya Nyasa

Nawapongeza viongozi wa Chadema mkuu resources kidogo za chama zinatumika vizuri
Kuna haja ya wanachama kujitoa zaidi Kwa ajili ya viongozi wao
Pengine ni mtindo wa uandishi wako; haya uliyoandika hapa hayaendani sana na ya huko juu uliyoanza nayo kwenye mada.
Hiyo mistari miwili ya mwanzo, umegonga penyewe hasa.
Ni matumaini yangu kwamba sasa si wanachama na wapenzi tu wa CHADEMA wanaopaswa kuunga juhudi hizi bali ni waTanzania wote wenye nia njema na taifa lao.

Michango isiishie kwenye mali na mali tu; bali sasa inatakiwa zaidi jasho la kumaliza kabisa kazi ya kulikomboa taifa hili.
 
Unateseka ukiwa Chauma au ccm?
Nadhani ni namna ya uandishi wake tu, ndiyo inayoleta utata' Tazama mwendelezo wa mawazo yake yanavyojitokeza baada ya hayo aliyoweka kwenye mada yake.
 
Muhimu tu wasisahau kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwalejesha kufanya Siasa za majukwaani πŸ‘ˆ

Leo wananufaika n kupata japo michango ya tone tone

Kabla yake Rais Samia πŸ‘ˆ
walizuiwa kufanya chochote baada y Uchaguzi
kuisha✍️
 
Walidhani bila Mbowe itakufa
 
kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?πŸ’
Gentleman Vijembe Hivyo Unapiga Ukiwa Lumumba
 
Chadema ndie mkombozi wako siku chadema haipo CCM wanakufila mapema tu hawana rafiki hao wanawaza pesa tu shituka kahaba wewe
huna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani gentleman, jikite kwenye hoja bila kuweweseka na itapendeza zaidi πŸ’
 
Ni bora kuchangiwa na wananchi kuliko kuiba pesa za walalahoi. Kila kitu fakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
omba omba ni fedheha sana aise kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki πŸ’
 
TEC ndio mfadhili mkuu. Hiyo tone tone ni zugz 'dizaini' tu.
 
Erythrocyte
 
Tlaatlaah mbona hili swali lenyewe haujalijibu gentleman?
Gentleman,
Kasi ya kupeleka maendeleo kwa wananchi inayofanywa na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan ni moto wa kuotea mbali aise.

huenda utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, ukukamilika kwa 100% kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2029.

Na kwa kasi hii ya viwango katika kuwatumikia wananchi,
kuna uwezekano wa 100% kwamba CCM ikashinda uchaguzi mkuu wa Oct 2030 kwa 100%, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi πŸ’
 
Ruzuku ya serikali kwa vyama vya siasa ni mojawapo ya mambo yaliyoharibu sana demokrasia ya nchi yetu.
 
Ulivyosema msafara nikajua labda kuna gari 130 kama misafara ya SAMUYA kumbe mbili tu ,aiseee hawa watu wakabidhiwe nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…