Msafara wa CHADEMA ukiwa Kasi kuwahi mikutano ya Chama Kanda ya Nyasa

huna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani gentleman, jikite kwenye hoja bila kuweweseka na itapendeza zaidi πŸ’
Waheshimu wanaokufanya upate ugali wa Kila siku thamani yako imejengwa na chadema
 
Waheshimu wanaokufanya upate ugali wa Kila siku thamani yako imejengwa na chadema
Fanya Kaz kwa bidii na maarifa gentleman, ili uondokane na huo unyonge wa kiuchumi na fikra za kitumwa, zinazokutesa na zinazokufanya uwe mfuata mkumbo lofa na mwenye mihemko nonsense sana jukwaani.

bila hivyo makasiriko ya kimaskini hayawezi kukuacha maisha yako yote πŸ’
 
Mheshim anaekupa ugali CHADEMA PUNGUZA UZWAZWA
 
Mheshim anaekupa ugali CHADEMA PUNGUZA UZWAZWA
ikiwa ni hivyo,
mihemko nonsense na makasiriko useless ni yanini sasa jukwaani gentleman?

ushauri wangu mujarabu kwako na kwa wadau wengine pointless na wenye mihemko nonsense ya kinyumbu kama wewe, ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa, ili hatimae kuondokana na unyonge wa kiuchumi, ambao ndio hasa msingi wa makasiriko ya bila sababu na mihemko nonsense jukwaani πŸ’
 
sinaga vijembe wala porojo gentleman,

hua daima naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu πŸ’
Mbona Huongei Kuhusu October 29,2025

Wewe Ni Mtu Wa Vijembe Hutaki Ukombozi Wa Tanganyika
Gentleman Jitafakari Upya Usitoboe Mtumbwi Tunaosafiria Wote
 
Mbona Huongei Kuhusu October 29,2025

Wewe Ni Mtu Wa Vijembe Hutaki Ukombozi Wa Tanganyika
Gentleman Jitafakari Upya Usitoboe Mtumbwi Tunaosafiria Wote
hivi gentleman,
hicho kitanganyika kinaweza kua na watu zaidi ya mia2 ndani ya Tanzania kweli?

Maana,
mpaka ninapoandika reply hii, 99.9% ni waTanzania. na huenda anaejieleza kuhusu Tanganyika akaonekana ni mtu mwenye changamoto ya afya ya akili πŸ’
 
Kwa Gharama Zangu Gentleman
Nataka Nikupeleke Lutindi Mental Hospital Ipo Korogwe Ilianzishwa Mwaka 1890
 
Kwa Gharama Zangu Gentleman
Nataka Nikupeleke Lutindi Mental Hospital Ipo Korogwe Ilianzishwa Mwaka 1890
hukuna mTanzania anaweza kubabaika na kitu ambacho hajakiona na ni cha kusadikika tu.

99.9% ya waTanzania wamezaliwa Tanzania huru, wanafurahia na kujivunjia utaifa na uTanzania wao na sio hiyo useless ambayo sijui ina watu mia au mia mbili gentleman πŸ’
 
kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?πŸ’

umesahau na wale waliochangiwa na watuhumiwa hela za kampeni..
hawa wote ni wale wale,, hii michango wanasiasa wanatumia kutakatisha hela haramu...
 
kasi ya kwenda kuomba kuchangiwa pesa za kuwasitiri viongozi wa chadema taifa wanaofedheheka na mikopo ya kausha damu, right?πŸ’
Kile kitisho cha kipuuzi cha ccm kuwa chama kikikosa ruzuku kinakufa naona kimefikia mwisho. Chama kinatakiwa kiendeshwe kwa michango ya wafuasi wake. Sijui shirikini uchaguzi hata kama ni WA wizi ili chama kipate ruzuku usen@@nge huo umefikia mwisho.
 
Mungu awabariki wafike salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…