Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.
Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.
Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.
MUNGU IBARIKI TANZANIA