Uchaguzi 2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

Uchaguzi 2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

Angalia huo msafara gari zote mali ya ikulu,ndio anatumia kwenye kampeni
Serikali haina magari ya kijani. Kama inayo weka ushahidi. Hata ile chopa angalia rangi yake, ni mali ya CCM.

Chadema wanapamgasha hapa chini, aibu!

1602964151026.png

Aione Tabu tupu!
 
Hujaona michango inapita majukwaani kila apoenda tunamrushia hela za michango, kwani tundu lissu hakuwa na akiba, wewe kila unacho kipata unakula chote hubaki na akiba, tulimchangia, let ya magufuli sasa
Michango gani hiyo?
Hata wakichanga hawawezi kupata milioni mbili, sasa hizo zitaendesha hayo magari na chakula na sehemu ya kulala?
Hapo anafanya zuga tu ila pesa anpitisha mipakani anafanyia kampeni.
 
Michango gani hiyo?
Hata wakichanga hawawezi kupata milioni mbili, sasa hizo zitaendesha hayo magari na chakula na sehemu ya kulala?
Hapo anafanya zuga tu ila pesa anpitisha mipakani anafanyia kampeni.
Huelewi wewe tulia, si mmezoea pesa za serikali ndio mnadandia humo humo omba Mungu chadema wasishinde utakuwa mkimbizi kwanza nahisi utakuwa ww ni moja ya wale wanaotumika kuvuruga amani ya nchi hii kwa sh elfu 20 tu
 
Back
Top Bottom