Uchaguzi 2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

Uchaguzi 2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hao walinzi wanalipwa mishahara kama watumishi wengine wa umma ambao bado wanaendelea na majukumu yao ,kila sekta indelea na majukumu yake kama kawaida na hakuna iliposimama
 
Serikali inaggarimia kila kitu kwa kampeni hizi kwa sababu magu bado ni Rais.
 
Kwa wanaoijua CCM watakubali kwamba pesa na gharama za uchaguzi ni sehemu ndogo sana ya wanachomiliki. CCM ni taasisi imara iliyojiwekeza kila mahali, Inamudu gharama zote bila msaada wowote. Swali hili ukiliuliza kwa baadhi ya vyama Nina uhakika utalia hata kama unayajua
Elimu gani unayo tafadhali!
Tafuta kitabu cha Mkapa B.W. ukisome uone alivyokiri kuwa CCM wanapiga dili kwa ajili ya kupata hela ya kampeni.
Angalizo: Toleo la kiswahili bado,hivyo tafadhali sana jitahidi hata upate mtafsiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.

Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.

Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.

Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Pesa za vitambulisho vya wajasiriamali
 
Kuna maswali huwezi kupewa majibu ila kiuhalisia unachokihisi ndio jibu hadi inakua aibu kusemwa..
 
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.

Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.

Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.

Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Itajukikana baada ya kutoka madarakani
 
Upuuzi mtupu lete clip anlkposema haya
emoji706.png
emoji706.png
...

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Mkuu itakuwa haufuatilii mqmbo ya kisiasa. Tazama mwenyewe hapa:

Elimu gani unayo tafadhali!
Tafuta kitabu cha Mkapa B.W. ukisome uone alivyokiri kuwa CCM wanapiga dili kwa ajili ya kupata hela ya kampeni.
Angalizo: Toleo la kiswahili bado,hivyo tafadhali sana jitahidi hata upate mtafsiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juu ya utajiri wa rasilimali ulizonazo CCM , hahiitaji kusoma popote ni macho yanatosha kushuhudia hata kipofu anaona ninachosema. Gharama za uchaguzi tuwaulize vyama vingine ambavyo vina ruzuku tu
 
Back
Top Bottom