MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Bado ni Rais, analindwa kama rais hata akiwa kwenye mambo yake binafsi kama harusi, msiba au kampeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikuulize kwani Rais kwa sasa ni nani? Ukiweza jibu hapo utajua kuwa ulinzi uliopo kwa Rais lazima ulipiwe na Serikali ila makada wanaofuatana nao wanalipiwa na CCMMsafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.
Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.
Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ukombozi kutoka kwa nani? Tatizo kubwa ninyi vijana wa Lumumba ni kwamba mnakurupuka tu kama anavyokurupuka mgombea wenu wa CCM. Hebu msikilize hapa...CCM inajiweza, ndio Chama pekee kilicholeta ukombozi wa Tanzania. Sio hivyo vikundi vya VICOBA vinaibuka kipindi cha uchaguzi tu na sera zao za upotoshaji
Huwa hukosi UTOPOLO wa kuandika!Tunachojua mbelgiji anagharamiwa na robert
Ila Rais Magufuli anagharamiwa na Ccm
CCM inajiweza, ndio Chama pekee kilicholeta ukombozi wa Tanzania. Sio hivyo vikundi vya VICOBA vinaibuka kipindi cha uchaguzi tu na sera zao za upotoshaji
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.
Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.
Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
AaaaCCM wanachezea kodi zetu, Hawana pesa za kujigharamikia kampeni zao hata robo tu...
....Kwahiyo hakuna pesa za chama wala za babu yake ccm wakati wamevuna kutoka kwenye kodi za wananchi miaka 59 yote! Uchafu wote wanaofanya ni kwa nguvu ya kodi za Mtanzania mlipa kodi...
....Wana Laana hawa mboga mboga, Sio muda mrefu itawatafuna..
Twambie kwanza msafara wa Tundu Lisu unaghalimiwa na nani?Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.
Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.
Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Wanalijua hilo kuwa ccm ni taasisi na sio saccos ila tu wanajitoa ufahamu.Kwa wanaoijua CCM watakubali kwamba pesa na gharama za uchaguzi ni sehemu ndogo sana ya wanachomiliki. CCM ni taasisi imara iliyojiwekeza kila mahali, Inamudu gharama zote bila msaada wowote. Swali hili ukiliuliza kwa baadhi ya vyama Nina uhakika utalia hata kama unayajua
Tunawasaga na kuwadinya maccmMtaji wa Chadema ni mashoga na wasagaji
Huwa hukosi UTOPOLO wa kuandika!
Ongezea na wadada wa viti maalum, mpaka mwenyekiti anavunja mguu, faru John kula ruzuku na michango ya wabunge mazezeta wa saccos.Mtaji wa Chadema ni mashoga na wasagaji
Hujaona michango inapita majukwaani kila apoenda tunamrushia hela za michango, kwani tundu lissu hakuwa na akiba, wewe kila unacho kipata unakula chote hubaki na akiba, tulimchangia, let ya magufuli sasaTwambie kwanza msafara wa Tundu Lisu unaghalimiwa na nani?
Pia wakili wake mzungu nani anamlipia maana tunajua hakuwa na mshahara na chama hakijampa pesa?
Toa majibu hayo kisha upewe ya Magufuli.
Wanatumia pesa ya serikali,magari etc....yani ccm ni group la majambaziMsafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio ya kiserikali.
Pesa za Serikali ni pesa kwa ajili ya matumizi ya umma, kubadilisha magari ni geresha ila mafuta, msafara, walinzi ni wale wale maana walinzi wanabadili nguo ili waonekane ni wa CCM.
Lazima ifikie hatua vitabu vya CCM vya mapato na matumizi vitahitajika vikaguliwe ili kupata ukweli wa matumizi ya fedha za serikali kwenye chama.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ungeweka ushahidi tungekusikiliza.Wanatumia pesa ya serikali,magari etc....yani ccm ni group la majambazi