Uchaguzi 2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hao walinzi wanalipwa mishahara kama watumishi wengine wa umma ambao bado wanaendelea na majukumu yao ,kila sekta indelea na majukumu yake kama kawaida na hakuna iliposimama
 
Serikali inaggarimia kila kitu kwa kampeni hizi kwa sababu magu bado ni Rais.
 
Elimu gani unayo tafadhali!
Tafuta kitabu cha Mkapa B.W. ukisome uone alivyokiri kuwa CCM wanapiga dili kwa ajili ya kupata hela ya kampeni.
Angalizo: Toleo la kiswahili bado,hivyo tafadhali sana jitahidi hata upate mtafsiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa za vitambulisho vya wajasiriamali
 
Kuna maswali huwezi kupewa majibu ila kiuhalisia unachokihisi ndio jibu hadi inakua aibu kusemwa..
 
Itajukikana baada ya kutoka madarakani
 
Juu ya utajiri wa rasilimali ulizonazo CCM , hahiitaji kusoma popote ni macho yanatosha kushuhudia hata kipofu anaona ninachosema. Gharama za uchaguzi tuwaulize vyama vingine ambavyo vina ruzuku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…