Msafara wa magari makubwa ya Kijeshi uliobeba silaha nzito kutoka Syria kwenda Lebanon wasambaratishwa na ndege za kijeshi za Israel

Mwarabu hanaga akili kabisa yaani mtu anawapiga bado mnahangaika nae mtamalizwa
 
Mwarabu hanaga akili kabisa yaani mtu anawapiga bado mnahangaika nae mtamalizwa
Asa we mbona ndio chizi ...yaani ukipigwa ndio utulie ?yaani umeonesha una mavi kichwan watu washaamua Vita na hakuna Vita bila vifo wala majerui so we tulia watu watwangane mpk mwisho
 
Inaonyesha hofu haiko tel Aviv tu mpk huku jf mnaogopa majibu ya Iran.
Mnajidai oooh mwaràbu atulie atulie.
Sasa hakuna kobazi itayotulia mpk hao nyumbu wakimbie
 
Aliyepigwa kutoa taarifa kama iyo inaleta maswal, inawezekana wa kuna mchezo wa akili unachezwa hapo.
Inawezekana yalikua magari empty ndo yamedunguliwa, wanataka wamwaminishe myahud kua kashamnyong'onyeza adui ili ajichanganye
 
Waarabu watashindana sana lakini hawataahinda!!

They are fighting the loosing battle!
 
Aliyepigwa kutoa taarifa kama iyo inaleta maswal, inawezekana wa kuna mchezo wa akili unachezwa hapo.
Inawezekana yalikua magari empty ndo yamedunguliwa, wanataka wamwaminishe myahud kua kashamnyong'onyeza adui ili ajichanganye
Aaaaaiiiseeee! Sihami famii forum
 
too late...wateule wa mchongo kipigo chao kipo pale pale
 
Shida ya huyo allah eti yeye hapiganii watu wake lakini anataka yeye ndiye apiganiwe na ndipo eti ukiuwawa wakati unampigania ndio aende akupe mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera.
 
Fake news unconfirmed.
Nipo naitizama NBC hapa hakuna hiyo habari.
Kuna habari ya Israel kushambulia Occupied Westbank tu hadi sasa.
Israel anapiga kote, West Bank, Lebanon, syrian, Yemen, Gaza bila kisahau juzi amemvua nguo kubwa la magaidi ayatollah.
 
wabongo kwanini tunashangilia kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…