Msafara wa magari makubwa ya Kijeshi uliobeba silaha nzito kutoka Syria kwenda Lebanon wasambaratishwa na ndege za kijeshi za Israel

Ulofa mbaya sana, mtu mishipa ya shingo inamtoka kila wakati kutaka Israel ibarikiwe akiamini akifanya hivyo naye mambo yake yatamnyookea! Yaani kuna watu vichwa vyao vimejaa uharo badala ya ubongo! Mtu kama huyo anaweza hata kukubali kuolewa na Myahudi akiamini naye atabarikiwa!
 
Israel anapiga kote, West Bank, Lebanon, syrian, Yemen, Gaza bila kisahau juzi amemvua nguo kubwa la magaidi ayatollah.
Kuna Clip moja niliona sehemu Kuna kijana mmoja around 23-25yrs alikuwa anazozana na mabinti kama wa4 hivi wa familia moja akiwemo mama Yao sasa ktk kusukumizana binti mmoja akaanguka chini inaonekana aliumia ikabidi ainuke kwenda kumuita baba yake kama miaka 45-48 humo, Ile Mzee anatoka nje kifua wazi badala ya kutumia busara akawa anataka kupigana ila yule kijana anamkwepa kwa kukimbia huku nyuma mke anamsihi yule Mzee amwache yule kijana.

Bas ktk kukimbizana yule kijana akaona huu ni ujinga akageuka kum face yule Mzee akamtisha kama anapiga left punch Mzee akainama dogo akaibuka na bonge moja la right punch pale pale yule Mzee akaanguka chini na kuzirahi huku nyuma familia kilio kiufupi lilikuwa na tukio la aibu na fedhea kwa familia.
 
Aaaaaiiiseeee! Sihami famii forum
Haya sio mambo yangu lakini kwa mawazo ya kawaida lolote linaweza kua kwel hapo, kwenye ishu za kiintelejensia bila enough evidence lolote linawezekana especially kama adui ndo anakuaminisha kua umempiga.
 
Kuna Clip moja niliona sehemu Kuna kijana mmoja around 23-25yrs alikuwa anazozana na mabinti kama wa4 hivi wa familia moja akiwemo mama Yao sasa ktk kusukumizana binti mmoja akaanguka chini inaonekana aliumia ikabidi ainuke kwenda kumuita baba yake kama miaka 45-48 humo, Ile Mzee anatoka nje kifua wazi badala ya kutumia busara akawa anataka kupigana ila yule kijana anamkwepa kwa kukimbia huku nyuma mke anamsihi yule Mzee amwache yule kijana.

Bas ktk kukimbizana yule kijana akaona huu ni ujinga akageuka kum face yule Mzee akamtisha kama anapiga left punch Mzee akainama dogo akaibuka na bonge moja la right punch pale pale yule Mzee akaanguka chini na kuzirahi huku nyuma familia kilio kiufupi lilikuwa na tukio la aibu na fedhea kwa familia.
Hata kama alizirai huyo mzee bado alifanya kitu cha kishujaa kumkabili huyo muhuni.
Angekimbia na kulia ningemuona bwege sana.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli

Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon

Mungu ibariki Israel

Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon border

BEIRUT, Lebanon — A source close to the Hezbollah terror group says that Israel carried out strikes on a convoy of trucks entering Lebanon from Syria.

“Three Israeli strikes targeted a convoy of tanker trucks on the Syrian-Lebanese border in the Hawsh el-Sayyed Ali area, injuring one Syrian driver,” the source tells AFP.

It was the latest in a series of Israeli strikes in the border area, the source added

The Syrian Observatory for Human Rights war monitor also reports Israeli strikes inside Syria near the border with Lebanon, without mentioning any casualties.

The strikes targeted an area near a border crossing “used by Hezbollah to move trucks and group members” between Lebanon and Syria, the Britain-based Observatory says, which relies on a network of sources inside Syria.

“One of the strikes targeted a truck convoy,” while another targeted “a farm on the outskirts of Qusayr in Homs province,” the Observatory says.

Iran-backed Hezbollah has a strong presence on both sides of the eastern stretch of the Lebanese-Syria border, where it supports the regime of Syrian President Bashar al-Assad.
Hi habari Imekaa kikanisa kanisa vile upige a convoy of tanker trucks, afu afe driver mmoja tu 😄
 
Ataea
Myahudi hamumwezi mtapigw
Atawama

Atawamaliza. Huyo ndio Israel ambae alimpa Yudah na kumwahidi kuwa yeye ni simba ndugu zake watamtumikia
 
Israel ni kama kipaka tu, hana anachoweza sasahivi anampa shida marekani na allies wake ya kumlinda yeye mweupe tu mdomo mwingi
But why USA anailinda Israel kwa jasho na damu namna hiyo? ...., sorry kumbe anafanya hivo hivo pia Saudia, Qatar, Egypt as well. But we'll, sababu ni nini hasa?
 
NI malengo yao ya kiuchumi wameshajiwekea ili kuendelea kuipeleka dunia wanavyotaka , inawapa nguvu ya kuamua mambo mengi ya kidunia hasa ya kiuchumi, wakiamua wanaweka hadi watawala wanaowataka wao nchini kwako ili mradi iwe na maslahi kwao,
Tangu wamuue gaddafi mafuta ya libya imekuwa kama mali yao
Embu cheki ufaransa alichokuwa anafanya kwa west african countries, eti hadi mapato walikuwa wanaichangia ufaransa hadi leo
 
Back
Top Bottom