Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wapata ajali. Mmoja wa Watumishi wake afariki


Kwanini wanakimbia sana hawa watu kwenye hii misafara? Speed 200
 
Poleni sana
 
Sad news!!!!
 
Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
Hivi huko visiwani kuambatisha picha kwenye habari ni dhambi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…