Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wapata ajali. Mmoja wa Watumishi wake afariki

Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wapata ajali. Mmoja wa Watumishi wake afariki

Hii ni kwa mujibu wa ITV .

Taarifa zaidi zitawajia ....

UPDATE
Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
Bad Omen.
 
Hivi huko visiwani kuambatisha picha kwenye habari ni dhambi!!
- TANZIA_ Mhudumu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hamis Machenga, am ( 799 X 640 ).jpg
 
Huko Zanzibar wanakimbilia wapi bara bara zenyewe hakuna hapa pale shimo mara kona kali....
 
Hii ni kwa mujibu wa ITV .

Taarifa zaidi zitawajia ....

UPDATE
Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
Hata barabara ifagiliwe na kupigwa mop, kwa mwendo wao lazima ajali itokee tu..
 
Back
Top Bottom