Ibra tiger
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 294
- 707
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
.Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
Kumbuka waziri mkuu mstaafu wa Japan alipigwa risasi ya karibu na adui , hivo tusione ni kitu cha kucheza. Umetolea mfano Japana, je nchi nyingine kama India, Russioa, USA, France, Israeli n.k umejaribu fanya tatifiti kuona nao misafara ipoje? Adui siyo lazima atoke ndani na je umeangalia misafara kama pichani hapo ilikuwa inakwenda wapi kwa shughuli ipi? Maana inawezeana kuna Mkuu wa Mkoa husika, mawaziri ambao wapo kwenye ukaguzi au ufungunzi ,walinzi pengine na wanahabari. Kuziba njia kweli sikatai ila njia zetu zenyewe ndiyo hizi hizi na gari zetu kila mtu anajua ni mitumba sasa usipofanya clerance mapema inawezekana msafara ukafika ukakutana na gari zimezima ndiyo maana njia husafishwa mapema japo najua inauma kusubiri mda mrefu. Nchi zetu bado ni changa ingekuwa siyo tungeshauri watumie helikopta.Japan analindwa kwa technology hawa waafrika ni manual tuu mitutu nje nje kama vitani
Kumbuka waziri mkuu mstaafu wa Japan alipigwa risasi ya karibu na adui , hivo tusione ni kitu cha kucheza. Umetolea mfano Japana, je nchi nyingine kama India, Russioa, USA, France, Israeli n.k umejaribu fanya tatifiti kuona nao misafara ipoje? Adui siyo lazima atoke ndani na je umeangalia misafara kama pichani hapo ilikuwa inakwenda wapi kwa shughuli ipi? Maana inawezeana kuna Mkuu wa Mkoa husika, mawaziri ambao wapo kwenye ukaguzi au ufungunzi ,walinzi pengine na wanahabari. Kuziba njia kweli sikatai ila njia zetu zenyewe ndiyo hizi hizi na gari zetu kila mtu anajua ni mitumba sasa usipofanya clerance mapema inawezekana msafara ukafika ukakutana na gari zimezima ndiyo maana njia husafishwa mapema japo najua inauma kusubiri mda mrefu. Nchi zetu bado ni changa ingekuwa siyo tungeshauri watumie helikopta.
Mbona hata ss JK anazinguka hana shida? Issue Obama unaweza usione ulinzi wake kirahisi sababu ya technology wapo mbali.Huku mzee wetu Sumaye,Pinda mbona tunakutana nao safi tu. Issue viongozi waliopo madarakani ulinzi wao ni mkubwa Dunia nzima sababu hakuna muda wa kuriskiWenzetu hawathamini na kuwa nyenyekea viongozi waliopita,angalia Obama saivi anazurula tuu safii hana shida