Msafara wa Rais wa Nchi ya Africa Vs Waziri Mkuu wa Japan

Huwezi jua wapo watu wangapi hapo juu ukute kuña mawaziri mkuu wa mkoa wakurugenzi vyombo vya ulinzi msafara lazima uonekane mkubwa
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104

Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
 
Utasikia Itifaki itifaki ww itifaki ni wa pekee Africa?
Wakati mwingine wananchi wanapenda kiongozi wao Ila walee wa itifaki nao watakula wapi?
Basi kuwe hata na gari 5 zatosha upo malampaka mashambani napo kuna itifaki
 
Kwanini tufanane?
Mfano ona na hii;

- Average birth rate for Japanese woman is 1.68 children.

-Average birth rate for Tanzanian women is 5.84 children.

Mengi tu hatufanani Ndg Hater.
 
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104

Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
.
JamiiForums180748577.jpg
 
Japan analindwa kwa technology hawa waafrika ni manual tuu mitutu nje nje kama vitani
 
Kumbuka waziri mkuu mstaafu wa Japan alipigwa risasi ya karibu na adui , hivo tusione ni kitu cha kucheza. Umetolea mfano Japana, je nchi nyingine kama India, Russioa, USA, France, Israeli n.k umejaribu fanya tatifiti kuona nao misafara ipoje? Adui siyo lazima atoke ndani na je umeangalia misafara kama pichani hapo ilikuwa inakwenda wapi kwa shughuli ipi? Maana inawezeana kuna Mkuu wa Mkoa husika, mawaziri ambao wapo kwenye ukaguzi au ufungunzi ,walinzi pengine na wanahabari. Kuziba njia kweli sikatai ila njia zetu zenyewe ndiyo hizi hizi na gari zetu kila mtu anajua ni mitumba sasa usipofanya clerance mapema inawezekana msafara ukafika ukakutana na gari zimezima ndiyo maana njia husafishwa mapema japo najua inauma kusubiri mda mrefu. Nchi zetu bado ni changa ingekuwa siyo tungeshauri watumie helikopta.
 
Wenzetu hawathamini na kuwa nyenyekea viongozi waliopita,angalia Obama saivi anazurula tuu safii hana shida
 
Mbona hata ss JK anazinguka hana shida? Issue Obama unaweza usione ulinzi wake kirahisi sababu ya technology wapo mbali.Huku mzee wetu Sumaye,Pinda mbona tunakutana nao safi tu. Issue viongozi waliopo madarakani ulinzi wao ni mkubwa Dunia nzima sababu hakuna muda wa kuriski
 
Uwo msafara wa kwanza ni wa vibaka walio madarakani ambao hawawezi kutoka madarakani kwa sanduku la kura bali kwa mandamano yasiyo na kikomo au kupinduliwa na jeshi

Na mara nyingi utumia majeshi kama kinga yao na kuishi maisha ya anasa wakati wananchi wao wakiishi kwenye ufukara.

Uingia mikataba ya kifisadi inayowanufaisha wao na familia zao
Mikataba kama ya gesi, madini, bandari yote uangalia wanapata nini na si nchi itapata nini.
 
Back
Top Bottom