Inaitwa GPS mkuu..umenena vema!Ni hatari kwa kweli ukiachana na mawasiliano basi hata ramani wameshindwa Kuwa nayo pia hivi Mishangingi kama ile inakosa TV pale mbele inayoonyesha Ramani!!!....
Sisi baaado sana
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Unajitahidi 😁Infantry Soldier ni classmate wangu
Hahaha. U see 😎unajua kabisa kuwa kuna uongeaji ( katika uandishi) wa kiume na wa kike. Sasa now u sound like one. Shida ni ku maintain hasa unapofanya for fun 😀Alafu we kaka sipendi ujue. Najitahidi kufanya nini?
Ha ha haOooh ila hata me nilishawahi kupotea njia kule temeke ila namshukuru Mungu niliuliza nikafika
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba walipotea njia, huwa wanawasiliana na watu wao wanaokuwa njiani bara bara yote msafara unapopita. Kama wameona kitu wakakitilia mashaka huwasiliana na gari ya mawasiliano na uwezekano wa kubadilisha route unakuwepo. inawezekana hawakuelewana kwa sekunde chache na ma observer wao wanaocheki mienendo ya huko mbele wanakoendatupe maelezo mkuu ilikuaje baada ya kukosea na kuelekeza msafara kusiko sahihi?
ndiokick kwenye kupoteza msafara wa Rais??
Hii story niliisikia kwenye kijiwe flani cha kahawa kurasini mitaa ya diplomasia kule. Hii ilikuwaje?Si bora huu msafara ulio kosea njia kuliko ule wa Jk ambapo tairi ya gari yake ilichomoka
Mkuu, yule mheshimiwa kipindi chake cha pili aliandamwa na majanga sana. Hukusikia hata mkoani Mbeya kuna sehemu walimrushia mawe ikabidi abadilishiwe gari haraka sana? Hiyo ya kuchomoka tairi ilitokea Mwenge paleHii story niliisikia kwenye kijiwe flani cha kahawa kurasini mitaa ya diplomasia kule. Hii ilikuwaje?
Muhusika wa usafiri hanaga records za matengenezo ya magari Yale Au? Na gereji ya hayo magari ni wapi?
Dah noma kweli, najaribu kuwaza hapa Kama wipii aliekosea msafara alifukuzwa kazi sipati picha huyo anaehusika na kitengo cha usafiri wake kilimtokea nini..bila kusahau fundi mkuu wa magari Yale ilikuwaje! Maana speed ya ule msafara mmh..lazima wahusika wahakikishe ubora na usalama wa magari Kabla ya Safari.Mkuu, yule mheshimiwa kipindi chake cha pili aliandamwa na majanga sana. Hukusikia hata mkoani Mbeya kuna sehemu walimrushia mawe ikabidi abadilishiwe gari haraka sana? Hiyo ya kuchomoka tairi ilitokea Mwenge pale
Iiiii haya mawazo mengine sijui yanaingiaje vichwani mwa watu wetu km huyu jamaa...jamani!!!!Tuhuma nzito hizi
Trafiki mgeni bunduki ataitoka wapi? Acheni mzahaIlikuwa kule Taaarime, alijipiga risasi.
Kwanza hakuna counter ya kituo cha polisi kuna bunduki wazi, sawa na hospitali dawa huzioniTrafiki mgeni bunduki ataitoka wapi? Acheni mzaha
nimekumbuka mwaka fulani msafara wa jk tarime, polisi alielekeza visivyo alikamatwa na usiku huohuo alijipiga risasi akafaHeko wadau wa ulingo huu usio na mashabiki wengi.
Siku tatu zilizopita nilienda Mwanza kikazi, ndipo leo muda wa saa 4 au saa 5 asubuhi, tarehe 4 mwezi wa 9, 2018 nimeshuhudia kwa macho yangu msafara wa Raisi wa Tanzania ukikosea njia pale Mwanza kwenye Roundabout iliyoko karibu na BOT MWANZA.
View attachment 856842
Pamoja na kuwa walikuwepo askari wa usalama barabarani lakini nimeshangazwa kuona gari za mbele kusimama ghafla baada ya kuwa zimeingia junction ya Musoma road badala ya kunyooka na Airport road. Baada ya kusimama ghafla gari ya mbele ilipiga honi karibia mara nne, ambapo nafikiri ilimaanisha kutaka msaada wa kuelekezwa njia baada ya kukosea njia sahihi.
Ndipo mmoja wa askari kwenye gari la pili akashuka haraka na kumuonyeshea ishara ya kugeuza ili waendelee na Airport road. Wakati hayo yakiendelea ilibidi msafara wa gari za mbele usimame huku gari za nyuma zikipunguza mwendo kwa ghafla.
Baada ya kushuhudia tukio hilo nikabaki najiuliza maswali mengi, hivi kumbe somo la mawasiliano ni shida hata kwa taasisi nyeti ambazo zinaongoza msafara wa Raisi?
Je mawasiliano ya askari wa usalama barabarani yalikuwa hacked na kupoteza umakini wa taarifa na maelekezo?
Lakini pia nikajiuliza hili tukio kiusalama lina madhara gani?
Karibuni wadau.
Ndugu wale Traffic wanaosimama njia panda kuonyesha uelekeo wa msafara sio wageni, bali ni wenyeji wa eneo husika. Wewe labda unaongelea Rider (Pikipiki) ambaye anakuwa ametoka mkoani au wilayani, hivyo hutegemea maelekezo kutoka kwa askari/trraffic wanaokuwa njiani.Trafiki mgeni bunduki ataitoka wapi? Acheni mzaha
oh hahahahahahahahahh unanivunja mbavuOooh ila hata me nilishawahi kupotea njia kule temeke ila namshukuru Mungu niliuliza nikafika
Sent using Jamii Forums mobile app