Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Kwani mi niliwatishia kuwa Msipokee Muhuni mwenzenu? Nilichopinga ni Kumpokea na Kwenda taifa/msibani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajikuta wewe ndio jiwe kumbe ni ngumbaru mmoja mpiga deki Ofisi za Lumumba.
 
Hawa nao n wakupuuzwa tu wanajifanya hawajui taratibu Za itifak walitakiwa kuingia mapema kabla ya rais
 
Acha propaganda bwana. Mtu wa mwisho kuingia ukumbini katika Shughuli za kiserikali ni the highest ranking officer/leader. Sasa huwezi ukafika umechelewa ukapita mbele ya waheshimiwa lukuki.

Pia shughuli hizi huratibiwa na watu. Zinakwenda kwa utaratibu. Siwezi kuacha maeneo wazi kisa nakungoja...usipokuja!? Nibakie na masiti empty mbele ya live television kusherekea maisha ya Rais Mstaafu!? Hata Mimi Kama Muandaaji na msimamizi siwezi kuruhusu.

Cha kustaajabisha Hawa watu (CHADEMA) wanajua Hili, aidha wamewahi kuwa viongozi au wanajua juu ya protokali hata ndani ya chama chao... Imekuwaje leo wakafanya such a low class mistake!? Ni makusudii!? Au bahati mbaya!?
 
familia ya Mkapa haijapenda hilo jambo,msiba ni wa Taifa
Huu Msiba sio wa familia ya Mkapa, huu Msiba ni wa Kitaifa ndio maana kila kitu kinagharamiwa na Kodi za Watanzania.
 
MaCCM mpaka msiba mmegeuza hafla ya Rais, kweli.?!
Toka lini kufika msibani unapangiwa muda. Mmechanganyikiwa na mapokezi ya Lissu. Mnaendeleza roho mbaya kama kawaida yenu na MATAGA mnapiga propaganda muonekano mpo sahii. Dah.
 
Japo kuna baadhi ya viongozi wengi ni walevi,lkn ulevi wa kiongozi huyu wa chadema humsahaulisha mambo mengi ikiwemo hili lililotokea Amesahau kuwa huu ni msiba wa Kitaifa na Protocal zote zinafuata.
Tumsamehe tu,mtu mzima kateleza.
 
CHADEMA wamechanganyikiwa. Kila kitu kwao wanageuza kuwa ni siasa
 
Good thinking 'hata mimi nadhani walichelewa'
 
ni heri 1/2 shari kuliko shari kamili, hata mm ningekua JIWE nisingeweza kuvumilia nipo msibani huku nasikia "tunaimaaaaani na lissu, hoya hoya hoya"
 
Duh! Na wewe ni kiongozi Aiseeeeeeeeee!!!!
 
Maalimu seifu hana madhara kwa ccm. Huwezi kujua, CHADEMA sio wajinga kivile. Huwenda walifanya mawasiliano lakini wakapuuzwa. You never know, ccm wana hila usijifanye huwajui.
Ukichukua Sefu na Chadema, Sefu anamadhara makubwa kwa CCM kuliko Chadema.

Ni kwenye ushindi wa Sefu mwaka 2000 zaidi ya Wazanzibar 40 walifariki na wengine mpaka leo wako ukimbizini.

Ni kwenye ushindi wa Sefu serikali ya CCM ilisalimu amri Hadi kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Ni kwenye ushindi wa Sefu serikali ya CCM ilifuta matokeo ya Uchaguzi kupitia Mwenyekiti wa ZEC wakati huo Jecha....

Nyie Chadema mmewahi kufanya tukio gani la Kitaifa hadi serikali ya CCM ikasalimu amri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…