Watakwambia mafuriko ya lowasa ya 2015 na yale ya jana ya LisuUkichukua Sefu na Chadema, Sefu anamadhara makubwa kwa CCM kuliko Chadema.
Ni kwenye ushindi wa Sefu mwaka 2000 zaidi ya Wazanzibar 40 walifariki na wengine mpaka leo wako ukimbizini.
Ni kwenye ushindi wa Sefu serikali ya CCM ilisalimu amri Hadi kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Ni kwenye ushindi wa Sefu serikali ya CCM ilifuta matokeo ya Uchaguzi kupitia Mwenyekiti wa ZEC wakati huo Jecha....
Nyie Chadema mmewahi kufanya tukio gani la Kitaifa hadi serikali ya CCM ikasalimu amri.
Kwani huyu ni special na mwili autaingia kaburini na kuoza?Je walifuata mambo ya itifaki? Maana wasifanye kama msiba wa mtu wa kawaida.
Chadema watajulia wapi wakati huwa hawaendi matukio ya kitaifa? Kwenye masuala ya matukio ya kitaifa wako sifuriKwa hiyo chadema hawajui kuwa Rais ndio huwa wamwisho kuingia kwenye sherehe za kitaifa?
Civilisation imewapitia mbali sana MATAGA!
Ni rais mstaafu,kwanini na wao kama wamezuiwa wasiondoke kimya kimya hadi aje kuanzisha uzi? Kama sio specialKwani huyu ni special na mwili autaingia kaburini na kuoza?
Hovyo!!!Drama drama drama kama watoto, ...
Wapuuzi wanataka kwenda kwenye msiba kama kumkomoa Mtu hakukua na haja kuvuta attention jinga sana hiyo
Duuuh kama ndivyo walivyofanyiwa basi inatia shaka ueledi wa hao waliowazuia.Viongozi wakuu wa Chadema wamefika uwanja wa Uhuru leo saa moja asubuhi ndipo wakazuiwa kuingia wakiambiwa wasubiri kwanza utaratibu.
Ilipofika saa tatu asubuhi viongozi kadhaa walianza kumiminika na kuruhusiwa kuingia uwanjani huku viongozi wa Chadema wakiwa bado getini.
Rais alipofika akaingia ndipo viongozi wa Chadema wakaambiwa hakuna tena kuingia uwanjani.
Ndipo nasema sasa kila mtu afanye shughuli yake ili mradi hatutavunja katiba.
Walikua wanaenda kuwadhalilishaje mkuu?Kunakitu kinaitwa Malicious Intent kwa kikwetu. Viongozi wa CHADEMA hawakwenda pale uwanjani kwa ajiliya kuomboleza bali kwa ajili ya kudhalilisha viongozi na Nchi. Kikubwa ilikuwa ni kutafuta mileage za kisiasa. Sasa katika hali hiyo ni lazima wangefanya kitu chochote tu ili waonekane wapo. Walikuwa na nia ovu. Nani wa kuruhusu upumbavu huo katjka hali kama hii ya majonzi tuliyonayo?
Ni kutokana na Magufuli kuona aibu kuhusu Lissu na itamtafuna sana hiyo hali!Kunakitu kinaitwa Malicious Intent kwa kikwetu. Viongozi wa CHADEMA hawakwenda pale uwanjani kwa ajiliya kuomboleza bali kwa ajili ya kudhalilisha viongozi na Nchi. Kikubwa ilikuwa ni kutafuta mileage za kisiasa. Sasa katika hali hiyo ni lazima wangefanya kitu chochote tu ili waonekane wapo. Walikuwa na nia ovu. Nani wa kuruhusu upumbavu huo katjka hali kama hii ya majonzi tuliyonayo?