Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Hivi Bawacha hamjui kuwa kwenye sherehe zote za kitaifa mtu wa mwisho kuingia ni Rais? Hivi ninyi Chadema mbona wajinga sana?
Bashite wewe mpumbavu sana chadema wamefika kabla ya Raisi wewe unaongopa tu hapa
 
Nakubaliana nawew, lakin amini nakuambia matumizi ya nguvu badala ya hoja yanaanza kumfika shingoni Anko, watu million 60 kuwaongoza kwa amri amri na vitisho sio rahisi na pia hakuna uchaguzi mgumu na utavutia Dunia km huu wa mwaka huu,
Sasa kati ya watu mil60 ukute mil 50 wanamkubali kwa hii staili,na ndio ilivyo,upinzani watapata kura 10% tu kwenye urais.kwenye ubunge ndio balaa litakuwepo,tume ya wajumbe,sio ya uchaguzi.
 


 

Attachments

  • 5E510619-1040-4F4B-ABAD-84093E8A2A21.png
    186.2 KB · Views: 1
Hao ndio ccm sasa,kila mahali wanawaza siasa tu
 
 
Kumbuka wale ni viongozi wa chama tofauti na wewe na mimi lazima wakakae maeneo waliotengewa kabla rais ajaingia,kuja au kutojaa uwanja sio ishu,je itifaki walifuata?
Ni ishu Magufuli kachokwa kama hata wana ccm wenzake hawataki kumuunga mkono uwanjani anaokolewa na waalimu na watoto wa shule za msingi kaisha huyo
 
Nakubaliana nawew, lakin amini nakuambia matumizi ya nguvu badala ya hoja yanaanza kumfika shingoni Anko, watu million 60 kuwaongoza kwa amri amri na vitisho sio rahisi na pia hakuna uchaguzi mgumu na utavutia Dunia km huu wa mwaka huu,
Icheki hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dr. Abbas jana alisema magari yote yapaki pale Karimjee watachukuliwa na mabasi maalum. na pia akasema basi la mwisho kuondoka ni saa 1:30 asubuhi leo. Je CHADEMA tumefuata maagizo au tulitaka kuingia na gari uwanjani. kama walikuja na gari karimjee wakazuiliwa tunalaani sana kitendo hicho ila kama walitaka kuingia na gari uwanjani basi wamekiuka maagizo na hawatakiwi kulalamika waseme tu tumepitiwa.
 
Kuna Watu ninawashangaa mno Mkuu kwani wanamjua kabisa Mwamba alivyo na Kisununu na Kisasi na Wao wanaendelea Kumtibua tu kama hivi.
Apowe moto tu maana aliapa kuwa raisi wa wote haya mambo yanampaka matope wananchi hawasemi polisi wana Magu mwoga kwa nini sasa
 
Hicho ulichoandika ndicho kimefanya watimuliwe kwa sababu wao wanadhani Msibani kuna CCM na Chadema, kumbe kuna waombolezaji tu na Wala hazitajwi vyama
Magufuli ametaja ccm kwa sana tu maana yeye samahani wananchi ni ccm na sio Tanzania
 
Jana walikuwepo wakuu wa nchi?

Kumbuka wale ni watu mashuhuri wana sehemu zao walizopangiwa kabla mkuu wa nchi ajafika kwaiyo lazima itifaki ifuatwe.
Hakukuwa hata na watu tuliitwa tukapajaze wangewaingiza figisu hata mkutano wa taifa
 
Saf
Safi sana wanatuletea mzaha hatupo kucheza na vitoto vidogo, hiko chana kifutwe tuu. Wamekosa heshima kabisa ni aibu kuwa na chama kama CHADEMA Tanzania.
 
Hawa jamaa wanafanya mzaha na msiba wa taifa. Kiki ya jana imebuma wameona waende wakatafute kiki nyingine msibani. Aibu sana kwa CHADEMA.
Upumbavu ni kuufanya msiba wa kitaifa kuwa wa chama kimoja!
Ndivyo tunavyojenga upendo na kuaminiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…