Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Hatuwezi kukubali chadema wanajisi msiba wa marehemu mzee wetu mkapa, nchi hii ina intelijensia kali ambayo tulifahamu kwa muda mrefu kwamba hawa watu wanataka kunajisi msiba.

Siasa za matukio zimepitwa na wakati.
Crap!
 
Uko sahihi mkuu, ile hali ya jana huyo mkuu wa itifaki hapo, sio mvumilivu wa hali ile. Na sijui kwanini viongozi wa Cdm hawajifunzi tabia ya mtu. Kuna mbinu nyingi za kushindana na mtu wa aina hiyo, na bado ukammudu kuliko kutengeneza taswira ya mivutano.

Kuna Watu ninawashangaa mno Mkuu kwani wanamjua kabisa Mwamba alivyo na Kisununu na Kisasi na Wao wanaendelea Kumtibua tu kama hivi.
 
ina maana bado ccm wanaiogopa Chadema? kwa sababu gani na wakati chama kimeshakufa?
Hicho ulichoandika ndicho kimefanya watimuliwe kwa sababu wao wanadhani Msibani kuna CCM na Chadema, kumbe kuna waombolezaji tu na Wala hazitajwi vyama
 
Nikimuangalia Jiwe mbali ya kuwepo pale kwenye msiba wa Mkapa, lakini yupo nje ya msiba kimawazo.
Civilisation imewapitia mbali sana MATAGA na kiongozi wao.

Usishangae wakaambiwa wameandamana bila Kibali.

Ubaguzi huu sasa unahamia mpaka kwenye misiba na ipo siku utakwenda zaidi ya hapo.

Ya jana yamewaumiza, na hizi ndio hasira zao.
 
Hili linaumiza lakini ndio ukweli.


Watu wanapiga kelele humu hawajui hata mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa idara wameenda na Coaster maalum 😁😁😁

Hapo ndani kuna protocal za magari ya kina nani yanaruhusiwa kuingia hapo ndani.

Tuache masihara!
 
Mimi jana mbona sikufuata itifaki? Niliingia tu na kutoa heshima zangu kwa marehemu. Huu ni unyama!
Jana walikuwepo wakuu wa nchi?

Kumbuka wale ni watu mashuhuri wana sehemu zao walizopangiwa kabla mkuu wa nchi ajafika kwaiyo lazima itifaki ifuatwe.
 
Back
Top Bottom