Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Crap!Hatuwezi kukubali chadema wanajisi msiba wa marehemu mzee wetu mkapa, nchi hii ina intelijensia kali ambayo tulifahamu kwa muda mrefu kwamba hawa watu wanataka kunajisi msiba.
Siasa za matukio zimepitwa na wakati.
Mimi jana mbona sikufuata itifaki? Niliingia tu na kutoa heshima zangu kwa marehemu. Huu ni unyama!Je, walifuata mambo ya itifaki? Maana wasifanye kama msiba wa mtu wa kawaida.
Kwenye hii dunia kuna jitu moja oga sana aisee
Hivi unaishije kwa uoga huu?
Haya ni mateso aisee, how can you live like this?
Mnautafuta utukufu kwa lazima. Yana MWISHOWao wangetakiwa waingie mapema Sanaa, Ila kwa Sasa Rais amekuwa tayari ameingia na kuhutubia inaleta picha mbayaaa. Anyway tuendelee kusubiri.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wacha iwe crapcrap!
Wangepaki magari nje ya uwanja wakaingia kwa miguu wasingezuiliwa kuingia
Wale hawatembei na ving'ora na hawavunji sheria za barabarani kama magari ya serikali. Wanaenda pale kama wananchi wa kawaida hivyo itifaki haiwahusu maana hata ratiba hawakupewa!Walifika baada ya Mhe. Rais kufika au? kama walikuta Rais ameshafika basi ni halali wazuiwe.
Kwamba kwakua Rais kafika, basi hapa mimi sitakiwi kuingia?Hivi Bawacha hamjui kuwa kwenye sherehe zote za kitaifa mtu wa mwisho kuingia ni Rais? Hivi ninyi chadema mbona wajinga sana?
Kumbuka wale ni viongozi wa chama tofauti na wewe na mimi lazima wakakae maeneo waliotengewa kabla rais ajaingia,kuja au kutojaa uwanja sio ishu,je itifaki walifuata?Niko naangalia TV hapa naona bado watu wanaingia tu tena wengi kweli
Pia wakiendaa saa 4 hao wanaozuia wanapungukiwa nini?
Uko sahihi mkuu, ile hali ya jana huyo mkuu wa itifaki hapo, sio mvumilivu wa hali ile. Na sijui kwanini viongozi wa Cdm hawajifunzi tabia ya mtu. Kuna mbinu nyingi za kushindana na mtu wa aina hiyo, na bado ukammudu kuliko kutengeneza taswira ya mivutano.
Hicho ulichoandika ndicho kimefanya watimuliwe kwa sababu wao wanadhani Msibani kuna CCM na Chadema, kumbe kuna waombolezaji tu na Wala hazitajwi vyamaina maana bado ccm wanaiogopa Chadema? kwa sababu gani na wakati chama kimeshakufa?
Civilisation imewapitia mbali sana MATAGA na kiongozi wao.
Usishangae wakaambiwa wameandamana bila Kibali.
Ubaguzi huu sasa unahamia mpaka kwenye misiba na ipo siku utakwenda zaidi ya hapo.
Ya jana yamewaumiza, na hizi ndio hasira zao.
Hili linaumiza lakini ndio ukweli.
Washaogopeshwa na shazi la jana.
Jana walikuwepo wakuu wa nchi?Mimi jana mbona sikufuata itifaki? Niliingia tu na kutoa heshima zangu kwa marehemu. Huu ni unyama!