misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
HahahMbona mimi nilienda tu jana bila itifaki?
Viongozi wa nchi walikuwepo? Kama waliwahi kufika kabla mkuu wa nchi ajafika itakuwa wameonewa ila kama wamefika baada ya rais ni sawa tu kuzuiwa.
Kumbuka hao ni watu mashuhuri lazima wakae kule viongozi mashuhuru wanapokaa,wakikaa kwa wananchi wa kawaida kungeleta manunguniko kama wametengwa ila kama tunalichukulia kisiasa sawa.