Sio Lissu tu, hata nikiingia mimi sasa hivi rais amesimama na nikatakiwa kwenda kukaa jukwaa kuu lazima nivuruge attention za watu.Kuingia wa mwisho mtu kama lissu ni kuvuruga attention ya watu waliotulia maana uwanja ungelipuka, ni kama msiba wa ruge diamond alienda wa mwisho wakamrudisha maana alianza kuchukua attention ya watu, angefika on time kusingekuwa hata na bugdha
Chadema ni taasisi inayopambana kuchukua Dola.Kwahiyo hakuna MTU yeyote aliyeingia baada ya Rais kuingia hapo uwanjani?
Itoshe kusema tu mwenyekiti wa ccm na watu wake ni waoga tu.
#2020
#RIPMzeeMkapa
Hivi tangu lini CCM mnaithamini CHADEMA kiasi hicho cha kuwaweka jukwaa la heshima?Nafikiri kwenye hili tuache ushabiki Viongozi wa Chadema wamechelewa kufika uwanjani na walipaswa kukaa presidential Area wangekaaje na je uwanjani wangeingia vp wakati Rais kaishaingia?
Wakubwa sehemu yeyote ambayo kama kuna event mtu wa mwisho kuingia ni Rais ukichelewa kaa mbali tu!
Kwahiyo amezuiwa sababu hii,au utaratibu alitakiwa kuwahi kabla![emoji16][emoji16][emoji16].Hakuna cha kushangaza-uwepo wa Lissu ungeweza kuibua hamasa na shauku tofauti na kile kinacho endelea pale. Umpende Lissu usimpende, watu wangekua na shauku ya kumuona huyo mtu ambae risasi 16 haziku mmaliza-huu nu muujiza. Watu wa protokali wangelimaliza hili na CDM jana, sasa wamelikoroga.
Imebuma kwako.Hawa jamaa wanafanya mzaha na msiba wa taifa . Kiki ya jana imebuma wameona waende wakatafute kiki nyingine msibani. Aibu sana kwa CHADEMA.
Bila shaka mambo mengi yangesimama kwa muda kupisha attention ya Lissu kitu ambacho kingeleta aibu kubwa Sana.Kuingia wa mwisho mtu kama lissu ni kuvuruga attention ya watu waliotulia maana uwanja ungelipuka ,ni kama msiba wa ruge diamond alienda wa mwisho wakamrudisha maana alianza kuchukua attention ya watu ,angefika on time kusingekuwa hata na bugdha
Labda kama ulimaanisha meza kuu,jukwaa kuu ni huku wanapokaa public figure wote,au kivulini.Hivi tangu lini CCM mnaithamini CHADEMA kiasi hicho cha kuwaweka jukwaa la heshima?
Hivi ni CHADEMA hii hii ambayo Lissu alishambuliwa kwa risasi? Mbowe, Lema, Msigwa, Mdee, Bulaya na Sugu wamelazwa ndani gerezani?
Ni lini ushetani umewatoka mkawa malaika?
Hivi tangu lini CCM mnaithamini CHADEMA kiasi hicho cha kuwaweka jukwaa la heshima?
Hivi ni CHADEMA hii hii ambayo Lissu alishambuliwa kwa risasi? Mbowe, Lema, Msigwa, Mdee, Bulaya na Sugu wamelazwa ndani gerezani?
Ni lini ushetani umewatoka mkawa malaika?
Hivi uwa inatamkwa "Dola"?DORA 😳😳😳😳😳😳😳😳
[emoji28][emoji28][emoji28]Wamekosea kuchelewa ila hata kama wangewahi kwa figisu za CCM wanaweza kuambiwa mmewahi hamwingii
Hivi wewe mzima kweli, Kiki gani wanayoitafuta Chadema hivi kumbe kwenda msibani ni kiki.Hawa jamaa wanafanya mzaha na msiba wa taifa . Kiki ya jana imebuma wameona waende wakatafute kiki nyingine msibani. Aibu sana kwa CHADEMA.
Mmesha wazuia kumuaga Rais wenu wa CCM sasa maneno mengi ya nini tena? Mmetaifisha Mali nyingi za taifa hili na kuzifanya za ccm, sasa mnabinafsisha hata msiba wa taifa kuwa wa CCM?[emoji16][emoji16][emoji16]yaani hapa ndio huwa siwaelewi watz wenzangu kuwatetea hawa jamaa.
Hawa ni wahuni tu kama manzese,tofauti yao wao ni maarufu na wanavaa suti safi.
Toka jana msemaji wa serikali ametangaza,kwa utaratibu wa viongozi wa uma,wanasiasa na wageni wa alikwa kwenda taifa kuaga mpendwa wetu,wataacha magari karimjee hall na kupanda gari maalum zilizoandaliwa kwenda huko.na muda ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi.
Watu wanaingia uwanjani saa tatu na msafara wao binafsi,kama si kutafuta kick za kipuuzi ni nini??
CHADEMA wakati mwingine wanafanya mambo kitoto sanaWapuuzi Hawa wataendaje na msafara wakati Rais ameshaingia tena anahutubia naona sifa zinawalevya Sasa.
Unajuaje kama hawakuchukua utaratibu? Unajuaje labda walichukua Ila ndio wamegeukwa?Tena wangekuwa wanatamka neno hilo kwa mzuka na hamasa kubwa. Nina hakika isingekuwa msiba tena, bali ingekuwa tambo za kisiasa za cdm na ccm. Kama kweli viongozi wa Cdm walitaka kwenda msibani, walipaswa kuchukua utaratibu toka jana, kisha wajipange kuendana na utaratibu uliopo. Japo kwangu busara kubwa ilikuwa ni kutokwenda, hasa hasa Lisu.