Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Pm kasemaje jana?Ile statement ya Pm jana iliashiria hilo jambo.
Of which is very bad kubaguana hata kwenye msiba. Hii ni aibu na fedheha kwa Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pm kasemaje jana?Ile statement ya Pm jana iliashiria hilo jambo.
Of which is very bad kubaguana hata kwenye msiba. Hii ni aibu na fedheha kwa Taifa.
Sikutarajia swali la kijuha na kipopoma toka kwako.Kujitangaza walisubiri mkapa afe yaani watu wanaelekea kwenye real event wew unadhani.Its too mystereous and naiveJe, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?
Wewe si ulitishia nyau watu wasimpokee mpendwa wao? Hii nchi sio ya baba yako.Ile ni issue ya Kitaifa mzee si Msiba wa Babu yako au Muhuni mwenzio si Umeona Protoco zinafuatwa pale uwanja?
PM alisema nini?Ile statement ya Pm jana iliashiria hilo jambo.
Of which is very bad kubaguana hata kwenye msiba. Hii ni aibu na fedheha kwa Taifa.
Kwa hiyo utaratibu waliouchukua ndio huo wa kuingia baada ya Rais tena kwa msafara wenye mbwembwe.?Unajuaje kama hawakuchukua utaratibu? Unajuaje labda walichukua Ila ndio wamegeukwa?
musitafute huruma ya vyombo vya habari jana utaratibu uliotolewa ni kwamba viongozi wa chama na serikali watapanda magari maalumu,iweje nyie muje kwa usafiri wenu alafu mnakuja muda munaotaka.Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Mbowe aliongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mhe. Hashim Juma Issa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Mhe. Suzan Kiwanga na viongozi wengine waandamizi kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, Viongozi wa Kanda 10 za chama, Viongozi CHADEMAwa Mikoa, Wilaya na Majimbo mbalimbali nchi nzima.
View attachment 1519379
Kutoka Uwanja wa Uhuru hapa, Dar es Salaam.
Selikali siyo wajinga kama nyie mlivyoKwenda msibani ni utoto
Kwani mi niliwatishia kuwa Msipokee Muhuni mwenzenu? Nilichopinga ni Kumpokea na Kwenda taifa/msibaniWewe si ulitishia nyau watu wasimpokee mpendwa wao? Hii nchi sio ya baba yako.
Kuwa kiongozi mkubwa ni pamoja na kuwa na nidhamu , kwa hili Chadema wamekosa nidhamu..Nia yao wakazue taharuki tu kwenye msiba mbele ya Rais na wageni wake.Yani wewe bado una chuki za dr mihogo? Wtf? Move on wacha gubu! We si “me”?
Wewe na hao viongozi wako ndio Humuwezi kwenda na wakati kabisaSikutarajia swali la kijuha na kipopoma toka kwako.Kujitangaza walisubiri mkapa afe yaani watu wanaelekea kwenye real event wew unadhani.Its too mystereous and naive
Wameshakamilisha sherehe za mapokezi yaLisuCivilisation imewapitia mbali sana MATAGA!
Usishangae wakaambiwa wameandamana bila Kibali.
Ubaguzi huu sasa unahamia mpaka kwenye misiba na ipo siku utakwenda zaidi ya hapo.
Ya jana yamewaumiza, na hizi ndio hasira zao.
Hatari ya uamuzi huu ni msiba kuchukua sura ya kisiasa na matokeo yake watu wanaweza kususa kushiriki ikiwamo kuondoka msibani kwa waliokwisha kufika.
Ila kama kuna sababu ya msingi ya kuwazuia,tuambiwe.
Unajuaje kama hawakuchukua utaratibu? Unajuaje labda walichukua Ila ndio wamegeukwa?