Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Mashine is any device which simplifying work, kwahyo kati yao ni nani anastaili kuitwa?
Kwa jinsi mwanaume anavyojituma na kujitoa kufanya kazi ili aweze kumrahisishia maisha na kumridhisha mwanamke na watoto wake, anastahili kabisa kuitwa mashine. Na kwa kawaida huu msemo unapaswa usemwe na kinadada/wanawake. Ni aibu mwanaume kutamka statement hiyo mbele za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kwanini waseme wakina dada mkuu?
 
Wacha wanaume tupge kaz
Na mashine zetu bhana

Watoto wa kike kiuno tu
Mengne badae

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kwanini isiwe mwanaume mashine inayofanya kazi vizuri maana nyingine zipo mashine hata kusaga mchele uliolowana wa vitumbua inashindwa sasa hiyo ni mashine au nini????????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…