Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu inawezekanaDedication kwako labda mkuu au ni mapenzi yake binafsi tu
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo nn hiki mkuu!
Sasa kwanini hujiamini?Apana mkuu Nina shaft ya nguvu
Post sent using JamiiForums mobile app
HahaahahaWanawake wana vitimbi!!
Mkigombana anaweza kukuwekea hata ile ya Jide ya umelala huo!!
hahahahahahahahahahhahahhaha! nimecheka!na ww weka ringtone ya mazoea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wana vitimbi!!
Mkigombana anaweza kukuwekea hata ile ya Jide ya umelala huo!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeanza mambo yako [emoji26]
Mambo ya ndoa yana changamoto sana, ukioa aliyukuwa anajiuza na kapitiwa kila aina ya mipingo unaweza kukutana na hayo mafumbo na lazima jirani anahusika. Kama hamjaishi nae muda mrefu achana nae katafute type yako.Mafumbo hayo sheikh wangu, hapo inaonesha una kakibamia!!!
Co kuwa na shaft tu kazi inapigwa? tusijisahau na mihogo ya jang'ombe watt wanataka show!Apana mkuu Nina shaft ya nguvu
Post sent using JamiiForums mobile app