Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Duu mkuu kama unakibamia io nyimbo inakuhusu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hupigi mechi kali mkuu....unamtekenya na kibamia chako..... sugua mpaka iwake moto mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Haahahaha nawewe mwimbie kale ka Wimbo Nyamizi nakupenda japo.........

Akiendelea njoo tens tukushauri
 
Uyo ni msichana mswazi tuh!bila shaka!
 
Tafakari na uchukue hatua

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Duh....

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Wewe ni kibamia mzee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom