Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wana vitimbi!!
Mkigombana anaweza kukuwekea hata ile ya Jide ya umelala huo!!
Haahahaha nawewe mwimbie kale ka Wimbo Nyamizi nakupenda japo.........Wakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hahahahahhahahahahahahahahahhahahhaha! nimecheka!na ww weka ringtone ya mazoea!
Wewe ni kibamia mzeeWakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Apana mkuu Nina shaft ya nguvuKwani wewe kibamia?
Tuanzie hapo.
Sent from my head using brain