Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Picha ya hiyo mashine tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sawa kujisifiaKwa nini huna imani na maneno yake?
Mashine inamaanisha Uume EvelynPicha ya hiyo mashine tafadhali
Ndio huo huo tuuoneMashine inamaanisha Uume Evelyn
Aisee, sasa hapo inabidi umtafute muhusikaNdio huo huo tuuone
Hapa ndio hawa celebs wetu wanapokosa umakini kwenye kufungukaMwanamuziki ambaye pia ni hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa ijulikanayo kama "Mwanaume Mashine" Msaga Sumu amedai kuwa ngoma hiyo licha ya kumletea mafanikio ya muda mfupi kulinganisha na ngoma zote zilizopita lakini ngoma hiyo imeleta mtafaruku mkubwa katika ndoa yake kwa madai kuwa amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwa madada wengi hapa mjini ,wengi wamekuwa wakimtaka kimapenzi mara baada ya kugundulika kuwa ana muhogo wa jang'ombe .
'Wanawake wengi wamekuwa wakiahidi mambo kedekede ili mradi tu niwatimizie haja yao ya kimapenzi' alisikika akisema hivyo msaga sumu ambaye pia aliwahi kutamba na ngoma ya UNANITEGA SHEMEJI .
View attachment 537458
Huu wimbo uliimbwa na Dk Remmy kwanza
najiuliza why hasemi hili?
Sio original idea yake