Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Naombeni namba yake teh teh teh! Mwanaume mashine kweli singeli haijawahi kuwa acha wana Darisalam salama
 
Mwanamuziki ambaye pia ni hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa ijulikanayo kama "Mwanaume Mashine" Msaga Sumu amedai kuwa ngoma hiyo licha ya kumletea mafanikio ya muda mfupi kulinganisha na ngoma zote zilizopita lakini ngoma hiyo imeleta mtafaruku mkubwa katika ndoa yake kwa madai kuwa amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwa madada wengi hapa mjini ,wengi wamekuwa wakimtaka kimapenzi mara baada ya kugundulika kuwa ana muhogo wa jang'ombe .


'Wanawake wengi wamekuwa wakiahidi mambo kedekede ili mradi tu niwatimizie haja yao ya kimapenzi' alisikika akisema hivyo msaga sumu ambaye pia aliwahi kutamba na ngoma ya UNANITEGA SHEMEJI .


View attachment 537458
Hapa ndio hawa celebs wetu wanapokosa umakini kwenye kufunguka
Kuna vitu si lazima Lila mtu ajue vingine unabaki navyo kama mwanaume
 
Hivi wasanii vibamia hakuna nao watoe ngoma yao maana hii nyimbo ya msaga sumu imekuwa mwiba kwa vibamia
 
Acheni kupiga kelele humu, Mwanaume Mashine hakuna kingine.
 
Mtaani kwetu star wetu msaga sumu ,Nash mc.

Hehehe msaga sumu analingia mashineee!

Unazijua sifa za Mwanaume..?
Mwanaume sio pesa,sio unene,wembamba, wala sura-Mwanaume mashineee...

Hehe jaman jaman Sifa ya mwanaume ni mashineee...Mwanaume mashineee!!
 
Huu wimbo uliimbwa na Dk Remmy kwanza
najiuliza why hasemi hili?

Sio original idea yake

Huwa hana original idea...mwenyewe Alitoka kwa ku copy nyimbo za taarabu za kina mzee Yusuph kwenye vigodoro..hiyo tabia hajaiacha!!.. ndio style yake!!..
 
Wakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom