Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Mashine is any device which simplifying work, kwahyo kati yao ni nani anastaili kuitwa?
Kwa jinsi mwanaume anavyojituma na kujitoa kufanya kazi ili aweze kumrahisishia maisha na kumridhisha mwanamke na watoto wake, anastahili kabisa kuitwa mashine. Na kwa kawaida huu msemo unapaswa usemwe na kinadada/wanawake. Ni aibu mwanaume kutamka statement hiyo mbele za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha wanaume tupge kaz
Na mashine zetu bhana

Watoto wa kike kiuno tu
Mengne badae

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kwanini isiwe mwanaume mashine inayofanya kazi vizuri maana nyingine zipo mashine hata kusaga mchele uliolowana wa vitumbua inashindwa sasa hiyo ni mashine au nini????????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta maana ya mashine kwanza[/QUOTEk
SIMPLE AS FOLLOWS

Ushairi wa kuimbwa huwa una sehemu kuu mbili

1. CHORUS
2. VERSE


others 1, PRE-CHORUS and HOOKS

1. CHORUS

Sehemu hii hubeba jina la wimbo, utambulisho wa nyimbo kwa ujumla, na ni sehemu inayosikika zaidi kwa hadhira
Hapa tunaimba usiku na mchana

2. VERSE

Humu ndipo kuna maelezo ya maana ya kile kilichoimbwa kwenyee kiitikio yaani CHORUS

3. PRE-CHORUS

Huu ni ukaribisho wa CHORUS, hutukaribisha kuimba kiitikio, lakini pia hueleza maana ya KIITIKIO yani CHORUS

SASA TWENDE KWENYE NYIMBO YA MSAGA SUMU

Nadhani tusiandike nyimbo yote, twende kwenye PRE-CHORUS tuu,

''MWANAUME SIO SURA, MWANAUME SIO UMBO..........''

Mwandishi, au muimbaji wa hili shairi anatukaribisha kuimba mwili wa mwanaume, je si kweli?

sura na umbo kwa kumtaja mwana ume means anamkaribisha hata asiyejua kwamba yeye anamtaja mwanaume kimaumbile, na si vinginevyo.

Sasa anaposema MWANAUME MASHINE je unadhani hiyo mashine iko nje ya mwili wa mwanaume? na wakati ametukaribisha kwa kuanza kuimba SURA na MAUMBILE?

JE katika mwili huo wa mwanaume MASHINE ni sehemu gani?

Kuna njia tatu za ujuzi, au kujifunza na kujua kitu

1. KUJIFUNZA MWENYEWE- Self study
2. NJIA ELEKEZI- Instructions
3. MAZINGIRA/MAZOEA- Experience



SELF STUDY (nitatumia maoni yangu, au mm najua nini)

SIJAWAHI KUJIFUNZA KWAMBA KUNA MAHALA KWENYE MWILI WA MWANAUME INAITWA ''MASHINE''

INSTRUCTIONS

SIJAWAHI KUFUNDISHWA RASMI KUNA SEHEMU YA MWILI WA BINADAMU INAITWA ''MASHINE''

EXPERIENCE

NIMESHAWAHI KU EXPERIENCE SEHEMU YA MWANAUME (UUME) UKIITWA MASHINE



FASIHI NYINGINE HAZINA KABISA MAANA ILIYOJIFICHA KWA SABABU HATA WAANDISHI WENYEWE HAWANA UELEWA NA TAALUMA YA FASIHI

Bora kidogo hata wimbo wa GIGGY MONEY ''Nampa papa" ina fasihi yenye nguvu kidogo😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom