Msaidie mwanaume mwenzako

Msaidie mwanaume mwenzako

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Mwanaume akitoa chozi anadhihakiwa na wanaume wenzake lakini mwanamke akikunja uso tu wanaume wanaume wale wale waliomdhiahki mwanaume mwenzao wanamkimbilia uyo mwanamke kuhakikisha anatabasamu

Mwanaume akiomba msaada kwa wanaume wenzake anadhalilishwa lakini mwanamke akipost picha tu mtandaoni mwanaume yule yule aliemtosa mwanaume mwenzake anazama inbox uko anaweza kufanya hata mhamala fasta tu.

It very sad, a man's suffering means nothing to his fellow man but that fellow man believe woman must not suffer. Men who are more generous to women and see no reason to be generous to men are miserable

Ukweli ni kwamba wewe mwanaume unaeona ni sawa kuwasaidia wanawake na kuwatosa wanaume wenzako siku utakapopata shida ni hao hao wanaume wenzako unaowafungia vioo ndio watakupiga tafu, all women you helped will disapper.

Kumsaidia mwanamke ni matumizi mabaya ya nguvu na rasilimali kwa sababu wanawake ni wabinafsi wanachokipata wanakilinda kiwanufaishe wao tu. Msaidie mwanaume mwenziko ambae akiwa na afya njema au akisimama kiuchumi jasho lake linanufaisha wengi.

Don't be simp.
 
huyu mwenyewe anashindwa kutusaidia akipigwa maswali
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Sahihi mkuu.
Nishawahi kupata masahibu fulani miezi kadhaa iliyopita na nikapata msaada mkubwa kwa washkaji zangu.
Ila hii gen W ni vurumai nyoka sana zaidi ya kuofa nyapu hakuna kingine chenye wataofa asilimia kubwa ni wabinafsi shuwayn kabisa.
Wachache sana wenye ubinadamu ambao wanaweza kukufaa wakati mgumu.
 
Mwanaume haombi ombi msaada mkuu jitahidi upambane, msaada unaaibisha unadhalilisha.

Pia ni stupid men wanaweza tegemea kusaidiwa na wanaume wenzao
Hakuna mtu asiesaidiwa ila tunasaidiana na wale ambao tupo nao karibu.

Kuomba omba kila mtu inadhalilisha na Mimi nilikuwa mpingaji namba moja wa hiyo issue, ila life ikanipitisha pahali na nikawa desperate. Kiukweli sikuwahi kujisikia vibaya namna hiyo ila utafanyaje, unaweka pride pembeni ili jambo liende

Kuna wanaoomba tabia na kuna wanaoomba wamekwama. Ila katika magroup yote mawili mwanamke anasaidika kirahisi kwa sababu anacho cha kuoffer
 
Yote kwa yote, wanaume wengi huwa tuna ushkaji na sio urafiki. Watu wa kula nao bata na kujuana kwenye mishe yani yale mahusiano ya nipe nikupe kwa hiyo kama huna cha kutoa, watu wanakukuimbia

Ndugu zangu tukumbuke kuweka akiba, ya fedha na ya kuwainua watu wengine ambao pengine si ndugu. Hawa wanaweza kukusaidia.

Lakini pia tujifunze kuwajua marafiki wa kweli, wale watu ambao kiasili ni watoaji na wana moyo mzuri. Wapo wachache sana dunia hii na ni rahisi kuwapuuza kutokana na ujana hadi pale unapokutwa na tatizo. Unashangaa kuna mtu ulikuwa humzingatii ila ndio anakufaa kuliko wengine wote, hiyo huwa sio bahati mbaya ila tulikuwa tunawapuuza kwa wrong illussion za marafiki. Jitahidi kuwajua hawa watu maana ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom