Msaidie mwanaume mwenzako

Hata mimi huwa nasaidia sana wanaume ila ni hadi nithibitishe kweli umekwama yaani usije kwa staili ya uchawa maana kuna wengine ni tabia yao kuombaomba hata kama hawana tatizo lolote.
 
Tafuta njemba zako kazaa muhimu za kukupiga tafu

Naomba nikumbushe
Ukitenda wema kwa njemba ni ngumu sana akakuacha njia panda ukiwa umetaitiwa na yeye yuko vizuri

Hawa maninja ukikaa vibaya hutaamini anavokukataa
 
Ushaambiwa the future is female
 
Wow!! Welcome to the world of equality.

Hakika kwa mlichokifanya mnastahili zawadi kubwa sana, mimi kama mpenda usawa wa kweli nawapongeza sana wewe na hao vijana wenzio.

Yaani mlichokifanya hapo ni perfect equal treatment.

Kwa jinsi hao akina mama walivyo deal na huyo mwizi wa kike na nyie mkawakumbusha watumie approach ile ile kumalizana na mwizi wa kiume.... big up sana, japo najua hao akina mama h lazima mliwaudhi sana kwa kitendo chenu cha kutowapiga hao wezi wa kiume....

Na naamini kabisa miongoni mwa hao vijana wenzio uliokuwa nao haukuwa na hii type ya wanaume wanaojipendekeza kwa wanawake kama wale unaobishanaga nao humu.
 
Ushaambiwa the future is female
Clearly understandable the fight is about women superiority and nothing like equality, hencefoward we men should keenly find a proper approaches on how to navigate in the world which is increasingly mangled with gynocentrism. So have to start with taking care of each other.
 
Bila shaka mkuu everything is good in moderate na kwa feminist movements zilipofika ni lazma iwe regulated la sivyo. Huko mbeleni itabidi iwekwe initiatives za kuiponya jamii ambayo ipo broken
 
Bila shaka mkuu everything is good in moderate na kwa feminist movements zilipofika ni lazma iwe regulated la sivyo. Huko mbeleni itabidi iwekwe initiatives za kuiponya jamii ambayo ipo broken
Unfortunately any attempt aims to regulate feministic movements for good will definitely be misconstrued as an obstacle to attain their so-called equality goals.

Kwa hatua ilipofika negative impacts imeshaanza kuonekana japo wahanga sana sana ni upande wa kiumeni lakini ni suala la muda tu wote tutakuwa wahanga, naona kuna gender division kubwa sana inakuja huko mbeleni na hakuna itakayemuacha salama.
 
Ila sio sana maana naona conservatives wameanza kuja taratibu kurudisha misingi fulani lakini pia wanaume tumeanza pia kuwa vocals.

Women empowerment haikuwa kitu kibaya ila hii hali ya kutafuta jambo jipya la kulipinga ili ionekane movement ipo relevant. Hapo ndo wanakosea
 
Umeongea ukweli mkuu, women empowerment uenda haikua na ajenda mbaya nyuma ya pazia tatizo wanawake wengi waliitafsiri vibaya. Walifikiri ni movement ambayo imekuja kuwapa nafasi ya kulipiza kisasi ndio maana tumefika huku kwenye mahusiano ya kuviziana.
 
Swadakta, badala ya kuwa ya maendeleo imekuwa ni ya kupambana, kushindana na kutunishiana misuli
 
Japokuwa Mleta Mara una lengo la kuhubiri chuki Kati ya me na ke…. Lakini naunga mkono hoja ya ya msingi ya kuwa wanaume muwe wepesi kusaidiana…

Dunia kwa jinsi ilivyo haina huruma, zaidi sana haina huruma kwa mwanaume.

Wanaume mnaumizana sana, I can’t count how many times wanaume mmeumizana kwa kuibiana na kudhulumiana…. Where is your brotherhood…. Brothers!!!

Naongea Kama mmiliki wa kaka na mdogo wa kiume, ndugu zangu hawa nisipofungua mkono niwasaidie…. Basi ndio wamekwama! Huwa nawauliza hivi urafiki wenu huwa unahusisha nini na nini???
 
The only unconditional love we recieve is from our mother and sisters, keep it up madam.
 
Kweli kabisa coca leo umepiga kwenye mshono.
 
Yaan nikionaga neno nature linakuja kwenye jambo ambalo hata halihusiki nakerekwa? Sasa km nature si ingekua inakuja na suluhisho?

Ndo maana wanaume wanakufa mapema, kwa kusingizia nature uchwaraa, Lol
Mtakatifu Coca ilitakiwa tu kuzaliwa Mwanaume, tukiondoa zile mada zako za upinde tofaut na hapo una mitazamo chanya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…