Msaidie mwanaume mwenzako

Msaidie mwanaume mwenzako

Binafsi huwa ni mwepes sana kusaidia Me kuliko Ke. Hata kama simjui.
MWanaume mpaka akikulilia shida huwa naamini bas mwamba kwel kabanwa haswaa.
Mimi huwa siombi ombi msaada mpaka pale nimetaitiwa haswaaaa...
So nikion man ananililia shida bas huwa nina uhakika kabisa hapa mwamba kimeumana
Hata mimi huwa nasaidia sana wanaume ila ni hadi nithibitishe kweli umekwama yaani usije kwa staili ya uchawa maana kuna wengine ni tabia yao kuombaomba hata kama hawana tatizo lolote.
 
Tafuta njemba zako kazaa muhimu za kukupiga tafu

Naomba nikumbushe
Ukitenda wema kwa njemba ni ngumu sana akakuacha njia panda ukiwa umetaitiwa na yeye yuko vizuri

Hawa maninja ukikaa vibaya hutaamini anavokukataa
 
Mimi huwa nasema kila siku kama kuna zama ambazo wanaume wanapaswa kuangaliana kwa ukaribu na kupeana support katika mazingira yoyote yale, basi ni zama hizi tulizo nazo sasa ambapo jamii na dunia kwa ujumla inamuona mwanaume kama second class being au kiumbe kisichofaa kupewa attention yoyote ile.

It's obvious we currently live in gynocentric world where men are plausibly marginalized and no one gives poos about them just because they are "men".

Wanume wanapitia chagamoto nyingi sana za kimaisha na wanategemewa changamoto hizo wazitatue wao wenyewe pasipo kupewa msaada wala kulalamika, hata kama ziko nje ya uwezo wao. Na matokeo yake wakishindwa kuzitatua wanaishia kuugua sonona na hatimae kujiua, na hakuna anayejali.

Guys Ukiona mwanaume mwenzio anapitia changamoto yoyote ile na ameshindwa kuitatua, kama iko ndani ya uwezo wako please usisite kumsaidia hata kama hamfahamiani wala hamjawahi kuonana sehemu yoyote ile....

Hii dunia ya sasa sio rafiki kabisa kwa mwanaume na mtu pekee wa kumsaidia mwanaume ni Mungu na wewe mwanaume mwenzie tu basii....

Tofauti kabisa na mwanamke ambaye hata akipiga chafya tu anapata msaada kila kona.

Binafsi yangu niliishaacha siku nyingi sana kujipendekeza na kusaidia saidia wanawake ovyo, maana hata wao wenyewe hawanaga msaada kwa wanaume na hata hao wanaowasaidia wao hawana msaada kwa wanaume....sasa ya nini mmi niwe mmoja wa watu wanaowapa msaada na wakati kuna rundo la watu na taasisi ambazo tayari zinawapa msaada muda wowote wanapohitaji?

Msaada(japo ni kidogo) wangu nitatoa kwa watu(wanaume wenzangu) ambao hawana watu wa kuwasaidia...

Na nna uhakika kwa kufanya hivi hata Mungu nae anashusha baraka zake.... maana dunia ya sasa ilivyo si vile Mungu alikusudia iwe, kitendo cha kumshusha Mwanaume na kumu elevate mwanamke ni chukizo kubwa sna kwa Mungu ila binadamu wengi wa kileo hawajui....

Sasa hivi kuna project proposal naiandaa ambayo endapo kama mambo yakienda vizuri basi nitapata ufadhili wa $80,000 kutoka kwenye shirika moja wapo la kigeni linalotoa misaada kwa ajili ya kukamilisha miradi mbali mbali ya kimaendeleo hapa africa.

Nimepanga kukipeleka hicho kiasi cha fedha kwenye kilimo ambapo nitahitaji vijana waliohitimu fani mbali mbali kwenye sekta ya kilimo wapatao 90 na wote watakuwa ni vijana wa Kiume hakuna mwanamke hata mmoja atakaye kuwepo kwenye project yangu.

Ni ukweli uliowaza ukimsadia mwanaume umeisadia jamii, maana yeye ndio nguzo na akiyumba kiuchumba basi jamii nzima itakuwa ya ovyo kama ilivyo sasa.

Mleta mada nakupa big up sana kwa mada nzuri ya kukumbushana.
Ushaambiwa the future is female
 
Umetoa mfano hai. Nakumbuka kitaa alikamatwa mwizi mwanamke anaiba nguo kambani tukamtandika vibao viwili vitatu wakatokea wamama wanatukalipia kwamba tumuache mpaka anaiba ana shida katika kuhojiwa yule dada mwizi akashusha story ya simanzi pale wale wakina mama wakamchangia unga, mchele, maharage n.k wakamwambie arudi nyumbani, zimepita siku kadhaa katokea mwizi wa kiume hawa washkaji wanapaka rangi kucha za mademu jamaa wawili wameingia saluni kuwapaka paka rangi kwenye kucha wakati wa kuondoka mmoja kapita na simu wakina mama wameshtukia wakapiga kelele za mwizi vijana tukapotezea tu kama hatujasikia chochote tukawaacha hao kina mama wamkate wao wenyewe wampige au lah basi nae wamchangie mchele na unga akale kwa famikia yake basi wale washkaji hao mdogo mdogo wakapanda zao bodaboda wakasepa na simu kiulahini tu.
Wow!! Welcome to the world of equality.

Hakika kwa mlichokifanya mnastahili zawadi kubwa sana, mimi kama mpenda usawa wa kweli nawapongeza sana wewe na hao vijana wenzio.

Yaani mlichokifanya hapo ni perfect equal treatment.

Kwa jinsi hao akina mama walivyo deal na huyo mwizi wa kike na nyie mkawakumbusha watumie approach ile ile kumalizana na mwizi wa kiume.... big up sana, japo najua hao akina mama h lazima mliwaudhi sana kwa kitendo chenu cha kutowapiga hao wezi wa kiume....

Na naamini kabisa miongoni mwa hao vijana wenzio uliokuwa nao haukuwa na hii type ya wanaume wanaojipendekeza kwa wanawake kama wale unaobishanaga nao humu.
 
Ushaambiwa the future is female
Clearly understandable the fight is about women superiority and nothing like equality, hencefoward we men should keenly find a proper approaches on how to navigate in the world which is increasingly mangled with gynocentrism. So have to start with taking care of each other.
 
Bila shaka mkuu everything is good in moderate na kwa feminist movements zilipofika ni lazma iwe regulated la sivyo. Huko mbeleni itabidi iwekwe initiatives za kuiponya jamii ambayo ipo broken
 
Bila shaka mkuu everything is good in moderate na kwa feminist movements zilipofika ni lazma iwe regulated la sivyo. Huko mbeleni itabidi iwekwe initiatives za kuiponya jamii ambayo ipo broken
Unfortunately any attempt aims to regulate feministic movements for good will definitely be misconstrued as an obstacle to attain their so-called equality goals.

Kwa hatua ilipofika negative impacts imeshaanza kuonekana japo wahanga sana sana ni upande wa kiumeni lakini ni suala la muda tu wote tutakuwa wahanga, naona kuna gender division kubwa sana inakuja huko mbeleni na hakuna itakayemuacha salama.
 
Ila sio sana maana naona conservatives wameanza kuja taratibu kurudisha misingi fulani lakini pia wanaume tumeanza pia kuwa vocals.

Women empowerment haikuwa kitu kibaya ila hii hali ya kutafuta jambo jipya la kulipinga ili ionekane movement ipo relevant. Hapo ndo wanakosea
 
Umeongea ukweli mkuu, women empowerment uenda haikua na ajenda mbaya nyuma ya pazia tatizo wanawake wengi waliitafsiri vibaya. Walifikiri ni movement ambayo imekuja kuwapa nafasi ya kulipiza kisasi ndio maana tumefika huku kwenye mahusiano ya kuviziana.
 
Swadakta, badala ya kuwa ya maendeleo imekuwa ni ya kupambana, kushindana na kutunishiana misuli
 
Japokuwa Mleta Mara una lengo la kuhubiri chuki Kati ya me na ke…. Lakini naunga mkono hoja ya ya msingi ya kuwa wanaume muwe wepesi kusaidiana…

Dunia kwa jinsi ilivyo haina huruma, zaidi sana haina huruma kwa mwanaume.

Wanaume mnaumizana sana, I can’t count how many times wanaume mmeumizana kwa kuibiana na kudhulumiana…. Where is your brotherhood…. Brothers!!!

Naongea Kama mmiliki wa kaka na mdogo wa kiume, ndugu zangu hawa nisipofungua mkono niwasaidie…. Basi ndio wamekwama! Huwa nawauliza hivi urafiki wenu huwa unahusisha nini na nini???
 
Japokuwa Mleta Mara una lengo la kuhubiri chuki Kati ya me na ke…. Lakini naunga mkono hoja ya ya msingi ya kuwa wanaume muwe wepesi kusaidiana…

Dunia kwa jinsi ilivyo haina huruma, zaidi sana haina huruma kwa mwanaume.

Wanaume mnaumizana sana, I can’t count how many times wanaume mmeumizana kwa kuibiana na kudhulumiana…. Where is your brotherhood…. Brothers!!!

Naongea Kama mmiliki wa dada na mdogo wa kiume, ndugu zangu hawa nisipofungua mkono niwasaidie…. Basi ndio wamekwama! Huwa nawauliza hivi urafiki wenu huwa unahusisha nini na nini???
The only unconditional love we recieve is from our mother and sisters, keep it up madam.
 
Bora leo uwaambie hawa wanaumee wenzio ukweli ili akili iwakae sawa!!
Hakuna watu wanafiki na wabinafsi km wanaume wa Bongo, huwaga najiuliza huo urafiki na ushikaji una maana gani sasa km hakuna kupigana tafu au kukwamuana pale m1 anapokwamaa.

Kuna scenario hii,

Akati niko Chuo, kunae mates walikua na ushikaji, ilikua km mtu 3 yaan hawa walishibana haswaa, vimbweta wako wote, discssn walikua Pa1, hivyo yaan.
Sasa kunae m1 alipatwa na tatizo, wale wawili wakawa wanampa faraja ya maneno bila msaada, na akat mwenzao anataka msaada, achilia hawa washikaji zake, hawa wengine class mate, yaan wanaona mwanaume mwenzao anahitaji kukwamuliwa, lakini wanaishia kumpa maneno ya faraja tyuuh,

Kiukweli nilikua najisikia vibaya na kumuonea huruma mno yule kaka, ilifikia hatua nkaamua nimsaidie kwa kuwa tatizo lake lilikua ndani ya uwezo wangu, nika mkwamua kutoka kwenye tatizo na kuwa kwenye sawa na amani, maisha yakaendelea.

Sasa ikafika kuna wakati mdada alipata shida, alijaribu kuomba msaada, namna wanaume walivyokua wanajitoa kwake, Woiiiiih
Aseeeh nlishtukaa na kustaajabu sio km wale ambao walimuacha mwanaume mwenzao ahangaike.

Wanaume wa Bongo acheni ushikaji na urafiki wa kinafikii.
Kweli kabisa coca leo umepiga kwenye mshono.
 
Yaan nikionaga neno nature linakuja kwenye jambo ambalo hata halihusiki nakerekwa? Sasa km nature si ingekua inakuja na suluhisho?

Ndo maana wanaume wanakufa mapema, kwa kusingizia nature uchwaraa, Lol
Mtakatifu Coca ilitakiwa tu kuzaliwa Mwanaume, tukiondoa zile mada zako za upinde tofaut na hapo una mitazamo chanya sana.
 
Back
Top Bottom