Vipi sasa kama hakujitunza?? Au aliwahi kuolewa hapo awali na hiyo ni ndoa yake ya piliNilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.
Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Kwahyo atapona kabisaKWA WANAUME WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME Fanya hivi:Chukua dawa inaitwa Mgosi agona,chukua dawa inaitwa mdinda,chukua dawa inaitwa,mkuyu,chukua dawa inaitwa mdaula kisha changanya dawa hizi halafu chemsha kwenye kikombe anza kunywa kutwa mara mbili Kwa siku 7 au 21 ila hakikisha una uhakika wa kuwa na mwenza, Dawa zote hizo utazipata pale kariakoo katika maduka ya dawa asili. tafadhali usiende kufanya biashara na dawa hii maana nimeitoa bure nawe utoe bure
Kama ni ndoa ya pili inamaana kuna muda alikaa bila mwanaume huo unatosha ku jiadjustVipi sasa kama hakujitunza?? Au aliwahi kuolewa hapo awali na hiyo ni ndoa yake ya pili
Msaada ni wewe shemaji yake kumla basi acha kuleta huku au weka namba ya simu hapa na useme shemeji yako anapatikana mkoa gani na kazi yupo wapi.. Yaani unaletewa hoja ya kusaidia unaleta humu....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haya ndio matatizo yakujidai hauli papuchi mpaka uoe, unakuja kuoa papuchi inakushinda kula vizuri
[emoji1] [emoji1] huo ndio ukweli bora ujilie tu upate uzoefu wa kutosha na confidence hata ukioa hupati shida[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ngoja ,ubize ukiniisha nitarudi nikusaidie ..tatizo Dogo sana hilo sio mpaka atumie madawa !!.
Kwanza tafuta Uzi wangu mmoja unasema .FANYA UUME WAKO UWE NANGUV NA HAMU YAKURUDIA TENDO ....
Soma elewa vzuri ,,,utarudi nikupe hints nyingine .
Ngoja ,ubize ukiniisha nitarudi nikusaidie ..tatizo Dogo sana hilo sio mpaka atumie madawa !!.
Kwanza tafuta Uzi wangu mmoja unasema .FANYA UUME WAKO UWE NANGUV NA HAMU YAKURUDIA TENDO ....
Soma elewa vzuri ,,,utarudi nikupe hints nyingine .
Nb.Usinifate PM wakat unajua unaelement za Ushoga.
Ndg ikiwa wewe ni mkrito/ muislamu jaribu kuonesha ukristo / uislamu wako popote, iwe nyumbani, barabarani , ofisini au hata maeneo kama haya. Hakuna haja ya kumtukana usiyemjua, usifikri hakuna adhabu kwa kumtukana usiyemuona au usiyemjua. Haina haja wala sababu kuwa na majibu kama hayo, ila akante kwa yote bosi.
Nikupm ili iweje?
Mkaze uyo wa pembeni yakoIli nije kukukaza, si umesema ni mimi wala si kaka yangu. Mimi ni mwanaume nikiwa na shida siwezi kumsingizia mtu wakati hata hapa situmii jina langu halisi. Yaani hapa hakuna anayenijua halafu niogope kusema tatizo langu mwenyewe? ndiyo maana nimesema kama unadhani shida ni yakwangu njoo uone ninavyosimama kwenye papuchi lako.
na matangazo yote yaliyo jaa mitaani na mitandaoni bado unataka msaada duHabari iwe nanyi wapendwa!
Bila kupoteza muda napenda kujikita kwenye mada, kaka yangu ameo mwaka moja sasa. Huyu mwanamke walikuwa hawajajuana kindoa mpaka walipooana, sasa mwanamke analalama kwamba ndg yangu hampatii hitaji lake la ndoa kama inavyopaswa. Anasema kashaongea naye lakini jamaa anashindwa kufikia level zake, wameyaongea ndani wameshindwana sasa kayalete kwetu mashemeji zake.
MADAI YA SHEMEJI
Shemeji anadai kwamba kaka yangu hawezi kwenda round zaidi ya moja, yaani akipiga kamoja jamaa hawezi tena kusimamisha labda yapite masaa mengi sana. Kwa kitendo hicho mwanamke anaachwa na mshawasha kiasi anachodai kinampa msongo wa mawazo.
MADAI YA KAKA
Kaka yeye anasema amekuwa na hisia ndogo sana juu ya wanawake na kwamba hata mke wake wanaweza kulala naye wiki mbili bila kufanya mapenzi. Anaendelea kusema amekuwa akichoka sana baada ya tendo la ndoa. Anasema akifanya na mkewe kesho yake anakuwa kama mtu aliyelimishwa ekari tano.
MATUMIZI YA POMBE, SIGARA AU KUPIGA PUNYETO
Kaka yetu anasema (kwa sigara na pombe hata mimi nina uhakika) hajawahi kunywa pombe wala kuvuta wala kupiga punyeto. Anaapa kwamba hivo vitu hajawahi kuvifanya hata siku moja isipokuwa wakati akisoma walikuwa wanalishwa ugali maharage wenye mafuta taa kama ilivyo desturi za shule za boarding za serikali.
Ili kunusuru hali inayoendelea kufukuta na kuepusha jamaa kuchapiwa ushauri ni muhimu sana kwa yeyote yule. Msaidieni afanye nini kukabiliana na changamoto hiyo, najua kejeli haitakuwepo kwasababu hazitasaidia kutatua tatizo hili.
NB. Kumekuwepo na tabia za kusingizia wanaume wa DSM kwa mambo kama haya, ila huyu kaka yangu amezaliwa mtwara, kakulia mtwara na shule ndiyo iliyomtoa huko kuja dsm na kwasasa kazi anafanyia huko wala si mpenzi wa chipsi na kuku wa kisasa.
Si useme tu kuwa ni ww
Mmenifanya nicheke kwa Sauti.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...
Kaamua kumsukumia braza!!.
Duuh ahsante mkuu....nimepata na solution ya tatizo langu...Nilijua tu lazima mtakuja kutubu, wanaume wa mikoani hamna kitu, hampati balance diet, mnakula vyakula visivyo na virutubisho muhimu kwa ufanyaji kazi bora wa mwili, sinia la kiporo cha ugali na mboga zilizopikiwa kwenye kuni haziwezi kushindana na nutrition zinazopatikana kwenye burger moja au kipande cha pizza. Concentration kubwa na focus ya watu wa mikoni ni quantity ya chakula na siyo quality. Hapo ndipo mnapoingia mkenge, kuleni vyakula bora, hayo mambo mengine yote yatakaa sawa.