Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
KWA WANAUME WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME Fanya hivi:Chukua dawa inaitwa Mgosi agona,chukua dawa inaitwa mdinda,chukua dawa inaitwa,mkuyu,chukua dawa inaitwa mdaula kisha changanya dawa hizi halafu chemsha kwenye kikombe anza kunywa kutwa mara mbili Kwa siku 7 au 21 ila hakikisha una uhakika wa kuwa na mwenza, Dawa zote hizo utazipata pale kariakoo katika maduka ya dawa asili. tafadhali usiende kufanya biashara na dawa hii maana nimeitoa bure nawe utoe bure