Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Inaonyesha unatatizo la upungufu wa nguvu za kukaza mke wako ipasavyo. Fanya hiv, Chukua Asali kilo moja changanya na unga wa mdalasini vijiko vikubwa tano tumia Asubukhi unapo amka na unapo taka kulala. Katakata vitunguu swaumu punje 10 kisha meza kwa kutumia maji glass mbili Asubukhi na Jioni. Fanya hivyo kwa mwenzi mzima. Aisee nimechoka kuandika, mengine njoo pm nikwelekeze.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
kuvuta wala kupiga punyeto
hapa anayejua ukweli ni yeye tu. kama havuti sigala, wala hapigi punyeto, wala hanywi tatizo lake ni la kisaikolojia. Ajiamini, pia abadilishe utamaduni wa kula. Kama anakula sembe aache kabisa, ale donna ya kupikwa nyumbani. Pia ale mbegu za maboga, na achanganye asali na mdalasini ale. Ale na mtende (ile kitu kinacholiwaga sana kipindi cha mfungo). akizingatia hayo atakaa vizuri.
 
Patient ni bro wangu , sasa namba ya shemeji ya kazi gani?
Nani anayelalama hafikishwi kunako kilele cha maraha?Kama sio shemeji yako? mm naweza kujuwa shemeji apigwe na silaha zipi? Wewe toa NUMERALS zake,,, nitajuwa Ana nguvu kiasi gn,, nikishajuwa ndy namtakafuta na kaka yako,,, maana Kuna madada wengine bila style za KUSIMAIA BAISKEL,,, hajaridhika bado
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Wewe unafaa sana kuwa mke wangu
 
Inaonyesha unatatizo la upungufu wa nguvu za kukaza mke wako ipasavyo. Fanya hiv, Chukua Asali kilo moja changanya na unga wa mdalasini vijiko vikubwa tano tumia Asubukhi unapo amka na unapo taka kulala. Katakata vitunguu swaumu punje 10 kisha meza kwa kutumia maji glass mbili Asubukhi na Jioni. Fanya hivyo kwa mwenzi mzima. Aisee nimechoka kuandika, mengine njoo pm nikwelekeze.
Mi nilidhani ni mimi tu unayeniitaga pm kumbe ni tabia yako eeh! Kwani huko pm hutaandika?
 
Hahahahahaaaaa, umenifurahisha sana aisee. Ujue kule pm kuna mengi yana kupita kama vp nichek huko nikupe data.
 
Nahisi ulirogewa pm, na aliyekuroga keshapotea. No way, wacha tu nije nikapate hizo data
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Yaani, daaaah!! Wafaa kuwa kungwi!!
 
Back
Top Bottom