Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Yaani nimecheka utadhani mazuri! Serikali ya lawiti!?
 
Wameamua kumuonyesha Membe kwamba hakuna kitu anaweza kuwafanya,so wamemteka na mfanyakazi wake kumuonyeaha wanavyoweza kumfanya chochote Membe.
Ina maana ushauri wa Membe haukusikilizwa? Kutekana ni uzuzu!
 
Kumbe nilikuwa sina uhakika

Sasa sisi ambao tumeshawai kutuma namba zetu huko PM tunafanyaje ?

Mkuu huko Pm watu huwa wanakuja kwa kujifanya wanashida wanataka misaada kuhusu masomo na mambo kadha ya kukutega. Usiwajibu chochote wala kuwapa ushirikiano wowote. Mtu anatumia fake ID anataka namba yako ya nini?
 
Inawezekana Mello akawa kapata kibarua huko Tiss [emoji41]
[emoji16][emoji16]na siku ukija kujua huyo kwenye avatar yako ni mtumishi mtiifu,utajionea huruma sana.

yaani melo ahatarishe usalama wake kisa kuficha waropokaji,wasiojua hata nini cha kuongea.
 
[emoji16][emoji16]na siku ukija kujua huyo kwenye avatar yako ni mtumishi mtiifu,utajionea huruma sana.

yaani melo ahatarishe usalama wake kisa kuficha waropokaji,wasiojua hata nini cha kuongea.
Asingepigwa risasi watiifu huwa wanapigwa kwa mishahara minono na marupurupu mazito
 
Jiulize ni kwanini siku Roma anahojiwa Waziri wa Habari na Michezo aliacha yote akawa mpambe wa Roma?
Kama kweli ana mapenzi na Roma mbona hasuluhishi ndoa yake iliyovunjika?
Ndoa ya Roma ilivunjika kwa lipi ?
 
Is that Kigogo ?
 
Mkuu huko Pm watu huwa wanakuja kwa kujifanya wanashida wanataka misaada kuhusu masomo na mambo kadha ya kukutega. Usiwajibu chochote wala kuwapa ushirikiano wowote. Mtu anatumia fake ID anataka namba yako ya nini?
Acha hivyo, kuna wanaotumia ID za kike na kuwaingiza king wanaohusudu libeneke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…