Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Kunakaribia kupambazuka,
Nuru itafukuza giza..
Giza litaacha Uso wa Dunia na Nuru kutawala,
Maisha yanaenda kasi sana!
 
Ha ha ha, kwa hiyo mkatoliki walikula kiboga??
 
Mkuu kwani kujua jambo lolote ni lazima liwe na ww limekukuta? Au unadhani hao wanaofanya hayo matendo wana siri sana?
Kwa hio hivi vikosi vimetumwa kuwalawiti wananchi sisi tuliambiwa kuwa hii ni serikali ya Viwanda sasa ghafla imebadilika kuwa serikali ya liwati.

Basi ni vizuri tukajengewa sanamu kubwa pale Dodoma likiwa limebong'oa
Ili liendane na kaulimbiu ya Serikali ya liwati
Na kibwagizo cha hapa kulawitiwa tu!
Ili tujue moja
 
Kwa hio hivi vikosi vimetumwa kuwalawiti wananchi sisi tuliambiwa kuwa hii ni serikali ya Viwanda sasa ghafla imebadilika kuwa serikali ya liwati.
kama kweli wanalawiti. basi tunalawitiwa kwa kodi zetu. wenda wanakula njama na mabeberu kulifanya taifa la mashoga huko baadaye.
naomba isiwe kweli
 
Yetu macho.
Kuna siku na hiyo comment yako itakusubject kutekwa, na hapo ndipo utamkumbuka TL kuwa 'wakitumaliza sisi watakuja kwenu'. Maana watakuuliza ni kwa nini unasema 'yetu macho' tu badala ya kusifia na kutukuza!
 
Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Ni ngumu mkuu, hii katiba babu Nyerere aliiona.. kina Warioba walihisi haya CCM wakakaza shingo ..kubetua kigoda ni ngumu mkuu nakuahidi jamaa ana mamlaka makubwa kikatiba na ninanchokiona 2020 katika mchakato wa kura za maoni jamaa atafanya kitu kigumu sana.

Kura zitakua za wazi kama alivyofanya katika kupitisha bajeti ya mwaka wa fedha uliopita.

Atafanya hivyo ili watakao mzingua ale vichwa sasa hapo unafikiri kigoda kinabetuliwa vipi.

Watu wanavyosema huyu mtu hana nia njema na nchi na hana rafiki CCM wala upinzani watu hawaelewi ndomana hata kampeni zake 2015 hakutumia jina la CCM.
 
Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Lini ccm imewahi kufikiria japo kidogo tu maslahi ya taifa. Wao wanafikiria maslahi ya matumbo yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…