Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kwa sababu ni wa huko humo tusishangae ya Kabila Sr. kutokea, maana joka ukilifuga kulala nalo kitandani sio kwa vile linakupenda bali linajipima urefu kujua likikumeza utatosha au bado likue kue kwanza?"Wakitumaliza sisi watarudi kwenu" TUNDU LISSU